#COVID19 Cuba imeonesha njia. Afrika tuone aibu

una uhakika sisi ni wasomi?
 
Tulipokosea ni pale tulipoipa siasa nafasi kubwa kuliko taaluma
 
utengenezaji wa Tiba yanafanyika kwenye Nchi inategemea na Msimamo wa Rais.
Kama Rais anajuwa umuhimu wa Tiba za ndani ya Nchi msukumo unakuwa mkubwa wa Nchi kujishughulisha kutafuta Tiba.
Kama Rais anategemea Chanjo za Nje ya Nchi wananchi wanakata tamaa kutafuta Tiba.
Serikali ya Awamu ya 6 wanaamini kwenye Chanjo, watu wamkata tamaa kutafuta Tiba kipindi cha nyuma vyuo mbalimbali walikuwa wanafanya majaribio ya Tiba zao, sasa wamekosa matumaini kutoka Serikali.
 
Elimu yetu ni how to operate things not how to innovate things.

Unaweza kumpa mtu panadol ila huwezi kuvumbua aina mpya ya panadol.

Unaweza kushona vizuri mwili uliochanika ila huwezi kutengeneza sindano ya kushonea umeona utofauti?
Umemaliza mkuu
 
Siasa Inalipa Ina uhakika wa life nani aangaike na utafiti.
 
Kwa PhD za mchongo kama za akina Musukuma, Jaffo au Biteko, unategemea kupata ugunduzi wowote?
 
Nchi haina university Teaching hospital hadi karne hii ya sayansi unategemea nini kitatokea? Mloganzila imekuwa MUHIMBILI ndogo site ni ujinga wetu hu.
 
Nilishawah kuuliza hapa wataalam wetu wana mchango gani kwenye hili janga?

Au wanasubiri chanjo ya mtu mweupe waanze kuikosoa?
Kwa maneno wala huwawezi.
Ukiwapa nafasi ya kuelezea Jambo .
-in the matter of fact.
-actually.
-Of course.
-by the way.
 
Unawaongelea wengine, wewe mwenywewe umegundua nini?
 
Wataalam wetu wanasomea historia ya sayansi halafu wanapewa mitihani migumu ya kukariri baada ya hapo wanapewa tittle ya udaktari na kusubiri kuajiriwa.
Ni kweli mkuu hata tukiambia panadol imetengenezwa na nini? Hatujuwi unawekewa vicheni tu vya organic halafu unaambiwa ndo bond zilizotengenezwa na dawa hata kutuambia imetengenezwa na mti gani au madini gani hatuambiwi
 
Hivi unajua success ya Cuba in medicine ? Ingawa huenda wasiwe juu sana kwenye equipment na investment ila Cuba ni one of leading countries kwa medical doctors...

As of 2005, Cuba became the world leader in the ratio of doctors to population with 67 doctors per 10,000 population as compared with 43 in the Russian Federation and 24 in the United States.

 
Nilishawah kuuliza hapa wataalam wetu wana mchango gani kwenye hili janga?

Au wanasubiri chanjo ya mtu mweupe waanze kuikosoa?
Wataalam wetu wengi wameingia kwenye politics

Ova
 
Tusubiri spika wa bunge awe Steve Nyerere labda tutakua na wataalam wa Tiba Kama cuba.
 
Wasomi wetu muda mwingi wamewekeza kwenye deals zao,vikao vya bia na kona za totozi!!

Kuna yule majuzi amejitapa ana degree 9,apewe uspika,sijui hizo degree zake tisa kafanya kitu gani exceptional kwa vizazi vya Tanzania na Tanzania yenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…