Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Weka dataUzalishaji sukari Cuba imebaki historia tu, sasa hivi hata Tanzania inawazidi kwa uzalishaji.
Utalii nako inazidiwa kwa mbali na nchi nyingi za Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka dataUzalishaji sukari Cuba imebaki historia tu, sasa hivi hata Tanzania inawazidi kwa uzalishaji.
Utalii nako inazidiwa kwa mbali na nchi nyingi za Africa.
Yani najaribu kufikiri waliweza kutumia nini kubrainwash dunia kiasi hiki in the name of democracy. Huyo Mmarekani anayehubiri demokrasia, kapindua serikali ngapi za kidemokrasia kwakuwa hazikubaliani naye? Anahubiri rule of law na uwajibikaji, ila sasa anapinga anatishia hata kumkamata mwendesha mashtaka wa ICC kwa kuwa sasa ametoa kibali cha kukamatwa rafiki yake wakati miaka yote alikuwa akiiunga mkono kukamata wale asiowapenda.Hayo mambo ya uzalendo kwa nchi ni porojo tu za Wakomunisti kudhibiti uhuru wa raia.
Siasa za kijinga ni zipi ?Cuba waachane na hiyo Siasa ya Kijinga wachukue Demokrasia.
Unakaa kabisa kuisema nchi ya wanaume wenzio eti wanajivunia nini? Wewe nchi yako inajivunia nini? Licha ya kuwa na mito na kila aina ya resources? Mwanaume kuwasema wanaume wenzio sio kama ushoga ni nini? Aibu...Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba.
Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo lingine la kwamba miji ya Cuba imepangiliwa vizuri sana kiasi cha kuweza kuweka rula mtaa mzima bila kupinda. Hata hivyo miji ya Cuba huwa inaonekana kama magofu ya kale, sijui raia hawana pesa za kupaka rangi na kufanya maboresho ya nyumba.
Hivi nchi ya Cuba ina kingine cha maana cha ziada zaidi ya sekta nzuri ya afya? Ukiangalia GDP per capita yao ni kama Botswana tu, ni hasara sana kuwa pua na mdomo na Marekani halafu uwe lofa kiasi hicho, viburi vingine havina maana kabisa.
Za kijamaa.Siasa za kijinga ni zipi ?
KilimoKila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba.
Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo lingine la kwamba miji ya Cuba imepangiliwa vizuri sana kiasi cha kuweza kuweka rula mtaa mzima bila kupinda. Hata hivyo miji ya Cuba huwa inaonekana kama magofu ya kale, sijui raia hawana pesa za kupaka rangi na kufanya maboresho ya nyumba.
Hivi nchi ya Cuba ina kingine cha maana cha ziada zaidi ya sekta nzuri ya afya? Ukiangalia GDP per capita yao ni kama Botswana tu, ni hasara sana kuwa pua na mdomo na Marekani halafu uwe lofa kiasi hicho, viburi vingine havina maana kabisa.
Hapa kwetu kila siku watu wanalalamika bidhaa feke toka china, mara hazina viwango...wa cuba wanadumu na magari yao yenye viwango nayo hamtaki! Kazi kweli kweli na utanzania wetuPia Cuba ina mafundi mechanics bora kabisaa, yaani ule mji wa havana una magarii ya karne ya zamani, hamna gari inayoshindikana kulee hata gari iwe na kipengele gani itafufuliwa tuu. hii yote inatokana na umaskini mkubwa wa raia wa Cuba kutokana na utawala wa kijima na kidecteta.
Ujinga wake ni upi ?Za kijamaa.
Ni chaka la kujifichia Madikteta.Ujinga wake ni upi ?
Uzalishaji wa Cigar, Cigar ya Cuba ni moja kati ya Cigar nzuri zaidi Duniani, na wanapata Matrilioni ya hela kuzalisha hayo masigara makubwa.Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba.
Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo lingine la kwamba miji ya Cuba imepangiliwa vizuri sana kiasi cha kuweza kuweka rula mtaa mzima bila kupinda. Hata hivyo miji ya Cuba huwa inaonekana kama magofu ya kale, sijui raia hawana pesa za kupaka rangi na kufanya maboresho ya nyumba.
Hivi nchi ya Cuba ina kingine cha maana cha ziada zaidi ya sekta nzuri ya afya? Ukiangalia GDP per capita yao ni kama Botswana tu, ni hasara sana kuwa pua na mdomo na Marekani halafu uwe lofa kiasi hicho, viburi vingine havina maana kabisa.
Kama South Korea ?Ni chaka la kujifichia Madikteta.
Si Kweli, Cuba wapo rank ya kwanza kwa Nchi za Latin America zote, wapo juu Kushinda likes of Brazil na Argentina.Elimu yao ya kawaida tu.
Kama North KoreaKama South Korea ?
Kampuni moja tu Habanos Revenue yake ni roughly Trilioni 2Wanauza sigara zao ila hawapati matrilioni mkuu.
kuweza kuwa na idadi yao ya wanaojua kusoma na kuandika sio kawaida tu Mkuu.Elimu yao ya kawaida tu.