Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #41
Hiyo nchi nafikiri iko overrated sana na wabongo.Cuba hawana lolote la kujivunia, ni yale yale ya Nyerere ya kugawana umaskini.
Fidel Castro aliwaingiza chaka akawadanganya wakafuata siasa mbovu na ya hovyo ya kikomunisti na matokeo yake ndio hayo ya watu kubaki fukara wa kutupwa. Bure kabisa.