Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

Hayo mambo ya uzalendo kwa nchi ni porojo tu za Wakomunisti kudhibiti uhuru wa raia.
Yani najaribu kufikiri waliweza kutumia nini kubrainwash dunia kiasi hiki in the name of democracy. Huyo Mmarekani anayehubiri demokrasia, kapindua serikali ngapi za kidemokrasia kwakuwa hazikubaliani naye? Anahubiri rule of law na uwajibikaji, ila sasa anapinga anatishia hata kumkamata mwendesha mashtaka wa ICC kwa kuwa sasa ametoa kibali cha kukamatwa rafiki yake wakati miaka yote alikuwa akiiunga mkono kukamata wale asiowapenda.
Hiyo demokrasia ya marekani ni demokrasia pale tu inapokuwa inaunga mkono yale wanayoyapenda.
Si demokrasia tu, ni kwa kila kitu. Sasa hivi wimbo wa free market nao amaufuta baada ya china kuanza kuchukua nafasi yake katika biashara.
Cuba na vikwazo vyote lakini ni bora kuliko jamaica na haiti ambazo hazina vikwazo. Hii ina maana kwamba kuwa karibu na Marekani sio kigezo cha kuwa nchi tajiri.
 
Unakaa kabisa kuisema nchi ya wanaume wenzio eti wanajivunia nini? Wewe nchi yako inajivunia nini? Licha ya kuwa na mito na kila aina ya resources? Mwanaume kuwasema wanaume wenzio sio kama ushoga ni nini? Aibu...
 
Before we used to go there
now days PAIN IS OUR MEDICINE 92
 
Kilimo
 
Hapa kwetu kila siku watu wanalalamika bidhaa feke toka china, mara hazina viwango...wa cuba wanadumu na magari yao yenye viwango nayo hamtaki! Kazi kweli kweli na utanzania wetu
 
Uzalishaji wa Cigar, Cigar ya Cuba ni moja kati ya Cigar nzuri zaidi Duniani, na wanapata Matrilioni ya hela kuzalisha hayo masigara makubwa.
 
Uzalishaji wa Cigar, Cigar ya Cuba ni moja kati ya Cigar nzuri zaidi Duniani, na wanapata Matrilioni ya hela kuzalisha hayo masigara makubwa.
Wanauza sigara zao ila hawapati matrilioni mkuu.
 
Cuba hawana lolote la kujivunia, ni yale yale ya Nyerere ya kugawana umaskini.

Fidel Castro aliwaingiza chaka akawadanganya wakafuata siasa mbovu na ya hovyo ya kikomunisti na matokeo yake ndio hayo ya watu kubaki fukara wa kutupwa. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…