Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 4, 2024 Thread starter #41 Imeloa said: Cuba hawana lolote la kujivunia, ni yale yale ya Nyerere ya kugawana umaskini. Fidel Castro aliwaingiza chaka akawadanganya wakafuata siasa mbovu na ya hovyo ya kikomunisti na matokeo yake ndio hayo ya watu kubaki fukara wa kutupwa. Bure kabisa. Click to expand... Hiyo nchi nafikiri iko overrated sana na wabongo.
Imeloa said: Cuba hawana lolote la kujivunia, ni yale yale ya Nyerere ya kugawana umaskini. Fidel Castro aliwaingiza chaka akawadanganya wakafuata siasa mbovu na ya hovyo ya kikomunisti na matokeo yake ndio hayo ya watu kubaki fukara wa kutupwa. Bure kabisa. Click to expand... Hiyo nchi nafikiri iko overrated sana na wabongo.
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Dec 4, 2024 #42 Yoda said: Mbona hapa Tanzania zaidi 80% wanajua kusoma na kuandika Click to expand... Hili eneo hata sisi tumepiga hatua ya haraka sana, tatizo linabaki kwenye matumizi ya maarifa tu.
Yoda said: Mbona hapa Tanzania zaidi 80% wanajua kusoma na kuandika Click to expand... Hili eneo hata sisi tumepiga hatua ya haraka sana, tatizo linabaki kwenye matumizi ya maarifa tu.
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 5,934 Reaction score 10,206 Dec 4, 2024 #43 Kokolo said: Cuba: 1: health care the best in the World 2: military wako vizuri 3: Sugar cane wako vizuri 4: Tourism wako vizuri Click to expand... 5. Bange ya Cuba iko vizuri sana
Kokolo said: Cuba: 1: health care the best in the World 2: military wako vizuri 3: Sugar cane wako vizuri 4: Tourism wako vizuri Click to expand... 5. Bange ya Cuba iko vizuri sana
S Sitanii Senior Member Joined Nov 20, 2024 Posts 160 Reaction score 215 Dec 4, 2024 #44 Wana afya tu, mbona mafunzo ya kikomandoo nchi yako hupeleka wanajeshi wake huko mkuu?