Uchaguzi 2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

wamuombe mh raisi awaombee wachangiwe siku ya mkutano wa ccm..watapata pesa nyingi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Naibu Katibu mkuu wa Cuf Magdalena Sakaya amewaomba wanaccm na wanachadema bila kujali itikadi zao wakichangie chama chake kiweze kumudu gharama za kampeni.

Sakaya amewataka wana ngangari waliochukua fomu za kuchangisha michango kuomba mchango kwa mtu yoyote na wapokee kiasi chochote hata kama ni sh 100.

Source ITV habari

My take; Hii haijawahi kutokea kuanzia 1995!

Maendeleo hayana vyama
 
Hahaaaaa[emoji848][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]loooo

JESUS IS LORD[emoji120]
 

Yaani hawakuwaomba ACT - Wazalendo! Sipati kuelewa.

Wanyoshe mkono wao huko pia, Zito na Maalim hawawezi kuiwatupa.
 
Chadema kwenyewe hali ni mbaya kupita maelezo.Ndesamburo katangulia mbele ya haki gurudumuu alilishika Edlow nae kawakimbia.
 
zile alizochota kwenye akaunti ya CUF hazikutosha
 
Shetani akikutana na huyu Profesa kwenye chocho inabidi Shetani mwenyewe amlaani shetani huyu wa Buguruni
 
wamuombe mh raisi awaombee wachangiwe siku ya mkutano wa ccm..watapata pesa nyingi πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Magu fool awasaidie kuchangisha pesa kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…