Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwanini wasichangiwe na CCM wenzao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewageuka mkuuKwani ccm hawajawapa fungu lenu?inamaana munawafanyia kazi bure?? Basi wameona nyie ni pandikizi lisilo na faida.
Wewe ndio huelewi kiswahili umeshiba ndioo una njaa ndio ukiwa ccm lazima ujitoe ufahamu kuchumia tumboHuelewi kiswahili
Wewe ndio huelewi kiswahili umeshiba ndioo una njaa ndio ukiwa ccm lazima ujitoe ufahamu kuchumia tumbo
MatendoNani kakwambia kuwa mm ni ccm
Naibu Katibu mkuu wa Cuf Magdalena Sakaya amewaomba wanaccm na wanachadema bila kujali itikadi zao wakichangie chama chake kiweze kumudu gharama za kampeni.
Sakaya amewataka wana ngangari waliochukua fomu za kuchangisha michango kuomba mchango kwa mtu yoyote na wapokee kiasi chochote hata kama ni sh 100.
Source ITV habari
My take; Hii haijawahi kutokea kuanzia 1995!
Maendeleo hayana vyama
zile alizochota kwenye akaunti ya CUF hazikutosha
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Cuf-chama cha wananchi
Usilalamike, chukua hatua.
Changia CUF, changia ushindi
Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi
Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
Akaunti ya kuchangia iko benki ya nmb, tawi la temeke: jina la akaunti: CUF michango, namba ya akaunti ni 20710050166
Unaweza pia kuchangia kupitia simu
Kama mwanachama kiongozi wa CUF unaombwa kufika bila kukosa katika tukio hilo.
1. Voda: 0762469342
2. Tigo: 0658111925
3. Zantel: 0777760490
4. Airtel: 0699533883
wamuombe mh raisi awaombee wachangiwe siku ya mkutano wa ccm..watapata pesa nyingi 😀 😀 😀 😀