Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,448
- 1,311
Yote maisha mkuu. kuna kesho baada ya leo...Mlidhani bwana Yule atawazawadia viti vya ubunge sawa na Mbatia na viti vyake ishirini, kumbe hamkujua ni mtu wa namna gani.
Sasa hata ile ruzuku mliokuwa mnapewa na msajili ''kwishey"
Achana na kifo cha CUF bali furahia kuzaliwa kwa chama makini cha ACT ambacho kinashirikiana na chama imara CHADEMA kupambana na CCM.Mmenuna kisa mmetumika kuvuruga chama kisha mkatelekezwa baada ya kazi kuisha 😀
Mnalialia nini nyie vivuruge, ruzuku kwishney!!
Mna wabunge 3. Muwatoe basi huko bungeni tuoneCUF hamkumsikia Rais aliposema uchaguzi umeisha? Alirudia zaidi ya mara mbili hiyo kauli. Mnataka Shangazi zenu wachapwe?
Kuachwa mchezo?CUF mbona siku hizi mnalialia sana!