Uchaguzi 2020 CUF: Chama hakiyatambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa ngazi zote na chochote ambacho ni zao la kura kama SUK

Uchaguzi 2020 CUF: Chama hakiyatambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa ngazi zote na chochote ambacho ni zao la kura kama SUK

Mlidhani bwana Yule atawazawadia viti vya ubunge sawa na Mbatia na viti vyake ishirini, kumbe hamkujua ni mtu wa namna gani.
Sasa hata ile ruzuku mliokuwa mnapewa na msajili ''kwishey"
Yote maisha mkuu. kuna kesho baada ya leo...
 
Mmenuna kisa mmetumika kuvuruga chama kisha mkatelekezwa baada ya kazi kuisha 😀
Achana na kifo cha CUF bali furahia kuzaliwa kwa chama makini cha ACT ambacho kinashirikiana na chama imara CHADEMA kupambana na CCM.
 
CCM wacheni roho mbaya,mumepata chungu kipya ACT mumetupa cha zamani CUF
 
Back
Top Bottom