Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Maalim Seif na Wabunge wote wahamie CHADEMA sasa tuone kama huyo Lipumba ataambulia hata diwani mmoja 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli aliposema "Muungano utalindwa kwa nguvu zote" mlidhani alikuwa anamaanisha nini?

Magufuli hana shida na vyama vya upinzani bara, anapambana na yule anayetaka muungano uvunjike, nae siyo mwingi ni Maalim Seilf ndiye mwenye ushawishi mkubwa,

Wanambana mapema kabla ya 2020 awe amesha futika kwenye uso wa siasa.....

Maalim kosa lingine alilolikosa ni pale Pro Lipumba alivyo tuma barua ya kustaafu wangachangua mwenyekiti mwingine fasta... yasingetokea haya
 
Kama ni kweli, Lipumba anaiua CUF kwa mikono yake na njaa zake.

Damu na Jasho la waliopigania CUF wakati wa uchaguzi wakati yeye akiwa mapumzikoni vitamuandama maisha yake yote.

Dhambi mbaya sana hii..
Atafukuza wote, wataingia bungeni kwa kupitia Chadema na yeye atakosa ruzuku! Bosi wake atamtema na yeye atamalizikia kuokota makopo!
 
Ni uchambuzi mwanana. Seif amekuwa mwiba tangia enzi za Nyerere. Na ndiye amekuwa mastermind wa kuzifanya siasa za Zanzibar kuwa ngumu. Ndiye amekuwa mastermind wa kutaka kuua muungano wa serikali ya tanzania. Solution ya haya yote imeshapatikana, Mnyamwezi ameshamumaliza. Sasa anatapatapa tu. Anachofanya ni kicks of a dying horse. Hadi mefika kwa Askofu wa kanisa la ufufuo na kumuomba Gwajima amufufue. Yote haya yameshindikana. The third and most likely option ambayo hujaitaja ni Seif kukimbilia kwao Omani ambako atamalizia maisha yake hapa duniani baada ya mikakati yake ya kuirudisha Zanzibar kwenye sulutani ya Oman kushindikana.

NB: Mambo yalipokwenda vibaya baada ya uchaguzi wa 2015 Maalimu aliitanguliza familia yake Oman. Baada ya kile alichodai kuwa UN imemukubalia kuapishwa kuwa rais wa Zanzibar ndipo aliirejesha familia yake Zanzibar. CUF ilianzishwa na Mh. Mapalala toka unyamwezi, baadaye Seif akaja akampindua huyo Mapalala (maana ya mapalala ni takataka). Sasa ametokea mnyamwezi anayeitwa Lipumba (maana ya lipumba ni mapumba) amempindua huyo mpinduzi na kukirejesha hicho chama kwenye ngome yake original ambayo ni kwa akina Magdalena Sakaya (maana ya sakaya ni vurumai)!!! What goes around comes around.
 
Acha utapel wewe

Soma historia ya cuf
 
Reactions: PNC
 
Mkuu pinguza kulalamika sana. Katiba ya CUF umewahi kuisoma?

Na kama umewahi kuisoma unaielewa vizuri?
 
Haa haa hawa wabunge hawasomi tu alama za nyakati yaani wao wanadhani lipumba anatania waulizen akina riziki .lipumba akiwaita mkuje haraka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu pro njugu mawe... Is just completed disconnected from the reality.. Jamani eeehh [emoji56]
Ati na yeye anajita alhaji lipumba jamani mmhhh?
Hayuko seriously huyu mzee kwa kweli na wala haja Qualified kabisa kuitwa profesa ama alhaji njugu mawe...hopeless kabisa huyu psychopathic [emoji35] only times will tells... Is keep on fake God kila kukicha yaani.... Ooh well life Goes on


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo linawezekana kwakuwa "nguvu ya mamba iko majini" na nguvu ya Lipumba iko kwa Spika, Msajili wa Vyama na Dola...
 
Na wafutane tu,wanachosha sana hawa mahasimu.
 
kwa hili unadanganya umma....pazuri wapi hapo? Tusidanganyane wandugu katika hili la zanzibar mambo yameshakwisha hakuna atakayekuja kubadili matokeo ya zanzibar only wazanzibar wenyewe ndo wanauwezo huo
na wewe pia usidangaye wazanzibar pia hawana uwezo wakubadilisha kitu si waliipigiya kura,cuf mbona haikuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

siasa hupendi !!!! kaaa kando usichangie usicho jipenda
 
Kuchaguliwa tena? sijui kama itakuwa rahisi kwani CCM sio Ile ya 2015 sasa hivi watashinda hata kwa nguvu yaani ni ubabe usipime. Maalim Ana option moja ampigie magoti lipumba akubali amezidiwa kete yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatafanya hivyo, hapigi magoti na cuf inakufa na nguvu kubwa zaidi inaibuka upande wa pili
 
Mbona kuumaliza huu mgogoro nirahis sana,,maalim kumpigia sim lipumba wakutane wenyewe wawili2 wayamalize halafu waite vyombo vyahabar wawaeleze wafuas wao kua hakuna tofaut.ili kama lipumba ametumwa kumuua seif lazima atakataa maana kazi yake itatibuliwa maalim atakaporud ila kama lipumba atakubali nakumaliza tofaut na seif itakula kwa chadema maana wao ndo wanaoivunja cuf.kwamfano mpaka sasa ugomvi mkubwa wa lipumba niule muungano wa ukawa umeimeza cuf na nccr vibaya sana hata kuhatarisha cuf kutoonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…