Kwani vigezo gani vilimpa uprofesor na vp vimemuondoleaHuyu pro njugu mawe... Is just completed disconnected from the reality.. Jamani eeehh [emoji56]
Ati na yeye anajita alhaji lipumba jamani mmhhh?
Hayuko seriously huyu mzee kwa kweli na wala haja Qualified kabisa kuitwa profesa ama alhaji njugu mawe...hopeless kabisa huyu psychopathic [emoji35] only times will tells... Is keep on fake God kila kukicha yaani.... Ooh well life Goes on
Sent using Jamii Forums mobile app
Which drug are you on? naona unashindana na kishada!Unapaswa kwanza ujue lengo la walio nyuma ya Lipumba.
Walio nyuma ya Lipumba wanataka Kumfuta Maalim uanachama ili;
☞ kumkosesha platform ya kuongelea mambo ya CUF
☞Kudhoofisha madai yake ya urais wa Zanzibar ambayo yamefikia mahali pazuri kwenye jumuiya za Kimataifa.
Ili kujua Maalim afanye nini lazima kujiuliza kwanza ;
Je, walioko nyuma ya Lipumba wakifanikiwa kumfutia Maalim uanachama (Kitu ambacho watafanikiwa ) , Madai ya urais wa Zanzibar ya Maalim kwenye jumuiya za Kimataifa yataathirika kiasi gani?
Kama hayataathirika basi Maalim apractice kile wazungu wanasema -Stop, look, listen, think and wait .
Kama yataathirika basi Maalim anaweza kuchukua ushauri wako hapo juu.
Hili ni kosa kubwa sana ambalo nadhani Sizonje hakuliona!! Na litamtesa kweliKumuunganisha Maalim Chadema litakuwa kosa kubwa kuliko yote la kimkakati alilofanya Sizonje.
WE WILL BE A LEGION AND NOTHING CAN STOP US!
You never want your enemy to be united against you , Sizonje makes us more than united, he makes us strong.
Why are you thinking of drugs this good Sunday morning?Which drug are you on? naona unashindana na kishada!
Ahsante sana,kwa comment yako nimecheka sana asubui hii, be blessed aiseeee.Kosa lingine la Mtatiro ni kukimbilia USA kusoma wakati nyumba yake inaungua. Mtatiro anasoma ili iweje wakati ana elimu nzuri (Masters) na madaraka makubwa kuliko umri wake? Anataka nini zaidi?
Mkuu hakuna chombo cha kimataifa kinachomueka mtu ye yote madarakani kwa kusikiliza tu nalalamiko ya upande mmoja.Unapaswa kwanza ujue lengo la walio nyuma ya Lipumba.
Walio nyuma ya Lipumba wanataka Kumfuta Maalim uanachama ili;
☞ kumkosesha platform ya kuongelea mambo ya CUF
☞Kudhoofisha madai yake ya urais wa Zanzibar ambayo yamefikia mahali pazuri kwenye jumuiya za Kimataifa.
Ili kujua Maalim afanye nini lazima kujiuliza kwanza ;
Je, walioko nyuma ya Lipumba wakifanikiwa kumfutia Maalim uanachama (Kitu ambacho watafanikiwa ) , Madai ya urais wa Zanzibar ya Maalim kwenye jumuiya za Kimataifa yataathirika kiasi gani?
Kama hayataathirika basi Maalim apractice kile wazungu wanasema -Stop, look, listen, think and wait .
Kama yataathirika basi Maalim anaweza kuchukua ushauri wako hapo juu.
We umeiona CUF wakati wa uchaguzi juzi tu? Unajua bara CUF imejengwa na nani? Unakumbuka container la visu wewe? Unakumbuka Ngangari na Ngunguli ya inspector Omari Mahita?
Unataka wamsikilize nani wakati walikuwa waangalizi wa uchaguzi?Mkuu hakuna chombo cha kimataifa kinachomueka mtu ye yote madarakani kwa kusikiliza tu nalalamiko ya upande mmoja.
Kumuongelea maalim seif kuwa atakuwa rais wa zanzibar kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2020 ni kupotezea watu muda, maana kitu hicho hakiwezi kutokea.
AiseeUpinzani Tanzania utasubiri sanaaa. Kweli bado mnooo kushika madaraka ya nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika Nini Sasa? Hata Ccm Ina Historia Yake Muasisi Nyerere Kwa Sasa Mwenyekit Maguful Nani Aliumia?i Hakuna Generation Isiyo Na Mwisho Muda Ukifika Unaondoka Hamna Mtu Wa Kudumu.
Upinzani Tanzania utasubiri sanaaa. Kweli bado mnooo kushika madaraka ya nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini na maalim seif asisepe? Au umemuona lipumba tu
Labda ni Mpango wa Mungu litokee hili ulilosema ili tukombolewe, maana tumeteseka mda mrefu sana.Kumuunganisha Maalim Chadema litakuwa kosa kubwa kuliko yote la kimkakati alilofanya Sizonje.
WE WILL BE A LEGION AND NOTHING CAN STOP US!
You never want your enemy to be united against you , Sizonje makes us more than united, he makes us strong.