Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Huyu pro njugu mawe... Is just completed disconnected from the reality.. Jamani eeehh [emoji56]
Ati na yeye anajita alhaji lipumba jamani mmhhh?
Hayuko seriously huyu mzee kwa kweli na wala haja Qualified kabisa kuitwa profesa ama alhaji njugu mawe...hopeless kabisa huyu psychopathic [emoji35] only times will tells... Is keep on fake God kila kukicha yaani.... Ooh well life Goes on

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani vigezo gani vilimpa uprofesor na vp vimemuondolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post kabla ya kuandika vitu kwenye hii mitandao unatakiwa kwanza wewe mwenyewe ujitathmini kama kiwango chako cha ufahamu na elimu yako inaruhusu kuandika jambo ambalo huna elimu nalo na pia kama ufahamu wako ni rafiki na jambo unaloandika.
Prof Lipumba kwanza amewaondoa wabunge wa viti maalum kwa sababu hawana sharti kubwa la kumuwezesha yeye na kundi lake kuathrika
2. Kuwaondoa wabunge hao ni rahisi tu kama alivyofanya akafanikiwa.
Wabunge hao wanatokana na kura za majimbo kwa hivyo akifukuza wabunge wa majimbo maana yake ni kuondosha pia wabunge wa viti maalum ambao yeye amewachagua
4. Ruzuku ya cuf inatokana pia na kura za majimbo kupoteza hao wabunge wa majimbo akiwa na hakika uchaguzi mdogo ukifanya atapoteza hawezi kukubaki kufanya hivyo atapoteza ruzuku.
Mtoa post kabla ya kutoa post zako jiongeze kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapaswa kwanza ujue lengo la walio nyuma ya Lipumba.
Walio nyuma ya Lipumba wanataka Kumfuta Maalim uanachama ili;
☞ kumkosesha platform ya kuongelea mambo ya CUF
☞Kudhoofisha madai yake ya urais wa Zanzibar ambayo yamefikia mahali pazuri kwenye jumuiya za Kimataifa.

Ili kujua Maalim afanye nini lazima kujiuliza kwanza ;
Je, walioko nyuma ya Lipumba wakifanikiwa kumfutia Maalim uanachama (Kitu ambacho watafanikiwa ) , Madai ya urais wa Zanzibar ya Maalim kwenye jumuiya za Kimataifa yataathirika kiasi gani?

Kama hayataathirika basi Maalim apractice kile wazungu wanasema -Stop, look, listen, think and wait .

Kama yataathirika basi Maalim anaweza kuchukua ushauri wako hapo juu.
Which drug are you on? naona unashindana na kishada!
 
Kumuunganisha Maalim Chadema litakuwa kosa kubwa kuliko yote la kimkakati alilofanya Sizonje.
WE WILL BE A LEGION AND NOTHING CAN STOP US!

You never want your enemy to be united against you , Sizonje makes us more than united, he makes us strong.
Hili ni kosa kubwa sana ambalo nadhani Sizonje hakuliona!! Na litamtesa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako wanaodhani kwamba ikiwa cuf _Zanzibar itaunganisha na chadema mafanikio makubwa yatapatikana katika siasa za Tanzanzia jambo hilo linawezekana ndilo linalovuta hisia kali za wafuasi wa Cuf zanzibar, inawezekana mawazo yao yakawa sahihi lkn pia inawezekana ndio ikawa mwisho wa siasa ya ukakika na ushindani zanzibar na kupelekea ccm kumiliki siasa za Tanzania.
1. Ikumbukwe kuwa maalim Seif atakuwa na miaka 78 ifikapo 2020 no more maalim seif atakuwa mzee seif.
Ikumbukukwe pia siasa za zanzibar zina usiri mkubwa na historia ambayo imejificha katika kaburi la muungano ambao ndio ajenda ya kufa na kuzikana zanzibar.
Jambo hilo likisimamiwa na cuf chadema kwa upande wa bara litapoteza wafuasi wa chadema upande wa bara kwa dhana ya kutaka kuvunja muungano.
Upemba na Unguja ni ajenda ya muda mrefu zanzibar iliojificha kwenye mgongo wa muungano
Lakni baya zaidi maalim akikimbilia chadema ataicha cuf ikiwa dhaifu sana lakini itakuwepo.
Kila kitu kinataka tafakuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa lingine la Mtatiro ni kukimbilia USA kusoma wakati nyumba yake inaungua. Mtatiro anasoma ili iweje wakati ana elimu nzuri (Masters) na madaraka makubwa kuliko umri wake? Anataka nini zaidi?
Ahsante sana,kwa comment yako nimecheka sana asubui hii, be blessed aiseeee.
 
Unapaswa kwanza ujue lengo la walio nyuma ya Lipumba.
Walio nyuma ya Lipumba wanataka Kumfuta Maalim uanachama ili;
☞ kumkosesha platform ya kuongelea mambo ya CUF
☞Kudhoofisha madai yake ya urais wa Zanzibar ambayo yamefikia mahali pazuri kwenye jumuiya za Kimataifa.

Ili kujua Maalim afanye nini lazima kujiuliza kwanza ;
Je, walioko nyuma ya Lipumba wakifanikiwa kumfutia Maalim uanachama (Kitu ambacho watafanikiwa ) , Madai ya urais wa Zanzibar ya Maalim kwenye jumuiya za Kimataifa yataathirika kiasi gani?

Kama hayataathirika basi Maalim apractice kile wazungu wanasema -Stop, look, listen, think and wait .

Kama yataathirika basi Maalim anaweza kuchukua ushauri wako hapo juu.
Mkuu hakuna chombo cha kimataifa kinachomueka mtu ye yote madarakani kwa kusikiliza tu nalalamiko ya upande mmoja.
Kumuongelea maalim seif kuwa atakuwa rais wa zanzibar kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2020 ni kupotezea watu muda, maana kitu hicho hakiwezi kutokea.
 
We umeiona CUF wakati wa uchaguzi juzi tu? Unajua bara CUF imejengwa na nani? Unakumbuka container la visu wewe? Unakumbuka Ngangari na Ngunguli ya inspector Omari Mahita?

Umeandika Nini Sasa? Hata Ccm Ina Historia Yake Muasisi Nyerere Kwa Sasa Mwenyekit Maguful Nani Aliumia?i Hakuna Generation Isiyo Na Mwisho Muda Ukifika Unaondoka Hamna Mtu Wa Kudumu.
 
Mkuu hakuna chombo cha kimataifa kinachomueka mtu ye yote madarakani kwa kusikiliza tu nalalamiko ya upande mmoja.
Kumuongelea maalim seif kuwa atakuwa rais wa zanzibar kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2020 ni kupotezea watu muda, maana kitu hicho hakiwezi kutokea.
Unataka wamsikilize nani wakati walikuwa waangalizi wa uchaguzi?
 
Wacha Cuf Viungane Na Chadema Ccm Watajuta Hapo Ndipo Aman Itaenda Kibra Wakiendeleza Usanii
 
Umeandika Nini Sasa? Hata Ccm Ina Historia Yake Muasisi Nyerere Kwa Sasa Mwenyekit Maguful Nani Aliumia?i Hakuna Generation Isiyo Na Mwisho Muda Ukifika Unaondoka Hamna Mtu Wa Kudumu.

Sasa kwa nini na maalim seif asisepe? Au umemuona lipumba tu
 
Upinzani Tanzania utasubiri sanaaa. Kweli bado mnooo kushika madaraka ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa Jinsi Ccm Inavyodili Na Upinzani Ni Dhahiri Shahri Kila Uchaguz Wanashindwa Wanajua Madhara Ya Upinzani Inahitaj Akili Ya Ziada Kujua Hilo Huwez Kuhangaika Na Mtu Ambae Hakutishi Tume Ya Uchaguz Na Polis Ni Watiifu Kwa Chama Cha Mapinduzi Chama Kimepoteza Kujiamini Kabisa Mfano Tu Ccm Wanapga Kampeni Upinzani Wanakamatwa Kwa Nini? Fungua Akili Usikalili.
 
Kumuunganisha Maalim Chadema litakuwa kosa kubwa kuliko yote la kimkakati alilofanya Sizonje.
WE WILL BE A LEGION AND NOTHING CAN STOP US!

You never want your enemy to be united against you , Sizonje makes us more than united, he makes us strong.
Labda ni Mpango wa Mungu litokee hili ulilosema ili tukombolewe, maana tumeteseka mda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom