Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Chanzo nialipewa hela ..sasa utamongopea nani hapa .hizo habari unazosema kawambie kwenye vijiwe vyakahawa .Watu wanapenda kulaumu matokeo hawataki kuangalia chanzo cha tatizo. Tujiulize Lipumba kuachia uenyekiti wa CUF chanzo nini? Je kulikuwa na maridhiano vizuri ni nani ashike hatamu kuiwakilisha CUF kugombea uchaguzi mkuu wa 2015 au watu waliburuzwa ktk kufikia maamuzi hayo? Na kauli gani zilitolewa na walioshinda kumpitimpitisha mgombea wanae mtaka dhidi ya wale walioshindwa ktk majadiliano? Au ilikuwa ile umeshinda vita lakini mapambano bado?
Kwa hiyo unaamini Lipumba akigombea urais kupitia UKAWA atashinda!We umeiona CUF wakati wa uchaguzi juzi tu? Unajua bara CUF imejengwa na nani? Unakumbuka container la visu wewe? Unakumbuka Ngangari na Ngunguli ya inspector Omari Mahita?
Kwa hiyo unaamini Lipumba akigombea urais kupitia UKAWA atashinda!
Chanzo nialipewa hela ..sasa utamongopea nani hapa .hizo habari unazosema kawambie kwenye vijiwe vyakahawa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa. Lakini kwa mujibu wa mtazamo wako. Jiulize ilikuwaje hadi akafikia hatua ya kununulika? Nini kilimpa msukumo huo? Kwanini chaguzi za miaka ya nyuma hakununulika kiasi cha kukubali kuachia kiti chake cha uongozi wa chama cha CUF? Think big! Usilewe kirahisi propaganda za kisiasa, mimi nakubali anaweza kuwa kanunuliwa lakini chanzo ni nini hasa kufikia maamuzi hayo ya kupokea pesa(KAMA KWELI KAPEWA PESA/HELA)?Chanzo nialipewa hela ..sasa utamongopea nani hapa .hizo habari unazosema kawambie kwenye vijiwe vyakahawa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ana hasara gani anapoteza nini.MWACHENI ACHAPE KAZIKama ni kweli, Lipumba anaiua CUF kwa mikono yake na njaa zake.
Damu na Jasho la waliopigania CUF wakati wa uchaguzi wakati yeye akiwa mapumzikoni vitamuandama maisha yake yote.
Dhambi mbaya sana hii..
Unaniuliza swali gani lakitoto??nini kilimshawishi kununilika ???hivi mfano mko wanaume wa5 akaja mtu akasena ana billion 1 anataka kati yenu akamtatue malinda akatokea moja akaenda utauliza kwanini kaenda au ndo tabia yake hiyo.Upo sahihi kabisa. Lakini kwa mujibu wa mtazamo wako. Jiulize ilikuwaje hadi akafikia hatua ya kununulika? Nini kilimpa msukumo huo? Kwanini chaguzi za miaka ya nyuma hakununulika kiasi cha kukubali kuachia kiti chake cha uongozi wa chama cha CUF? Think big! Usilewe kirahisi propaganda za kisiasa, mimi nakubali anaweza kuwa kanunuliwa lakini chanzo ni nini hasa kufikia maamuzi hayo ya kupokea pesa(KAMA KWELI KAPEWA PESA/HELA)?
Naunga mkono hoja.....Mie nawalaumu CUF hivi mnashindwa kumzimisha Lipumba? Yaani mtu mmoja anawaharibia Chama!! Someni dua la nguvu asubuhi anaokota makopo mnaendelea na mambo yenu!!
Kwa uandishi wa namna hii naomba nikuombe radhi, siwezi kuendelea na mjadala na wewe. It is too low! Hapo busara imekaa mbali sana. Sijui umri au unatumia substance flani yenye kuleta shida ya afya.hivi mfano mko wanaume wa5 akaja mtu akasena ana billion 1 anataka kati yenu akamtatue malinda akatokea moja akaenda utauliza kwanini kaenda au ndo tabia yake hiyo.
Ukimlaumu Mtatiro utakuwa unamwonea tu. Kambi ya Maalim Seif ilifanya kosa kuchelewa kuziba nafasi ya Lipumba alipojiuzulu mwaka 2015. Kitendo cha kukaa mwaka mzima bila kuziba ile nafasi lilikuwa kosa kubwa linalotumiwa kuwavuruga.
Mtatiro alipewa uongozi mwaka 2016 na bado anategemea sana maelekezo ya Maalim Seif
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa!!!!Kama ni kweli, Lipumba anaiua CUF kwa mikono yake na njaa zake.
Damu na Jasho la waliopigania CUF wakati wa uchaguzi wakati yeye akiwa mapumzikoni vitamuandama maisha yake yote.
Dhambi mbaya sana hii..
Si umeona akili za lipumba zilivyomgaragaza boss wako seif! Na bado, hiyo ni treila tu bado muziki. Hadi atakimbia Pemba.basi wewe utakuwa lipumba..manake akili zako zinafanana na zake
Una nyege njoo nikuwekee kidole cha kati zitakuisha mara moja