Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Kama ulivyo sema ni mission hivyo mahakama inaweza chelewesha maamuzi ili kumgarimu zaidi Malimu sef .unafuu wake ni kuchukua uamuz mapema ili aanze kujijenga kabla ya 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

INAONEKANA HUYO ALIYENYUMA YA LIPUMBA ANABARAKA ZOTE KUTOKA CHADEMA, KWASABABU KILA NIKIANGALIA KINACHOENDELEA CUF HIVI SASA CHADEMA NDIO WANUFAIKA WAKUBWA..!!
 
CCM, Chadema na Lowasa hawa ndio wachawi wa CUF.....

Chadema na CCM kila mmoja anachekelea kimya kimya kwa kinachoendelea ndani ya CUF....
Na huenda CCM isiwe mchawi kabisa kwa Cuf kwasababu yenyewe ndio mbabe wake Cuf, ila Chadema ilitaka kujisimika Zanzibar toka zamani ila kikwazo kilikuwa Cuf...
Ndio maana ukirejesha kumbukumbu miaka ya nyuma Chadema ilikuwa na uhasimu mkubwa na Cuf kuliko CCM kwa siasa za Zanzibar...
Kwa Chadema Cuf ilikuwa Ccm B, Chama cha Mashoga, Wakatumia mpaka siasa za udini...
Waliposhindwa nadhani ndo wakabadili gia angani Mbowe akauhujumu Ukawa kutoka kwa waasisi wake ambao ni Dr. Slaa na Prof. Lipumba...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu kwa maneno yako yanayo ashiria kupevuka na kuongoka-nimekufahamu na nimekuelewa
Mkuu poa mimi huumpa jibu mtu alitakalo na kustahili... mbona humu wengi tunajibishana vizuri tu.. ila ukija na comments tofauti utapata unachostahili... jifunze jf ilivyo... kama huwezi vumilia usiwachafue wengine...
 
Hivi wale wanaomshabikia Lipumba wanasemaje kuhusu UKAWA? Wanasemaje kuhusu ushindi wa Maalim kule visiwani??
UKAWA si chama ni umoja vyama vipo na vinatakiwa viwepo katika asili yake kwa Afya ya siasa ya nchi.Huyu Maalim ndiye Mara zote amekuwa anaingia kwenye uchaguzi anaporwa Halafu anakwenda katika mazungumzo na wezi wake tena akiwa peke yake huku CCM wakiwa wengi. Kinachoendelea ni kwa wazanzibar kustuka na kujipanga upya katika harakati za ukombizi wa nchi yao.Wameuzwa Kiasi cha kutosha. Zindukeni nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usemacho haswaa ndicho kilichopo watu hawajui katiba yao wanafuata mawazo na mhemko tu,mwenzao kwa kuwa ni Msomi kawakamata kwenye Sheria wao wamebaki na magazeti.Kama upinzani tulionao ndio huu CCM itatawala mpaka ilete balaa maana Akili zao zimechoka ila warithi wenyewe hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu kubwa sana kwa mwanachama wa CUF kumsapoti huyu jamaa - kwani kila kitu kipo wazi kabisa kwamba anatumiwa na watawala kukisambaratisha chama.

 
Labda huku kwa wadanganyika, z'bar hata kama CUF haina hata mbunge mmoja awe wa kuchaguliwa, tengenezwa au teuliwa bado watasimama imara.
 
Kama ni kweli, Lipumba anaiua CUF kwa mikono yake na njaa zake.

Damu na Jasho la waliopigania CUF wakati wa uchaguzi wakati yeye akiwa mapumzikoni vitamuandama maisha yake yote.

Dhambi mbaya sana hii..
Huyu atakuwa kaahidiwa kwenda ughaibuni kama Slaa akimaliza kazi ya sasa
 
Ni ajabu kubwa sana kwa mwanachama wa CUF kumsapoti huyu jamaa - kwani kila kitu kipo wazi kabisa kwamba anatumiwa na watawala kukisambaratisha chama.

Maalimu alishaling'aza kuwa ni dude moja greedy!! lisilo na mbele wala nyuma! Ogopa mwanaume asiye na historia ya mtoto! wala mke!! UFO-Unidentified Flying object=Lipumba
 
Anachofanya lipumba na wafadhiri wake
ni suluhisho la muda mfupi.Ukweli ni kwamba Zanzibar haiwezi kupona kwa njia hii.
 
Huyu jamaa ni zaidi ya wale wasanii wa kizamani wa mazingaombwe.
 
Chadema wataweza ku-handle hiyo nass infkux ya Cuf Maalum?

Vv
 
Huko Chadema kila Mtu Ana sharubu Kama Kambale Mie sipawezi narudi CUF- Juma Duni Haji!
Walikuwa na MOU kwa ajili ya uchaguzi. Katiba ya TZ hairuhusu muungano kwa ajili uchaguzi kama ilivyokuwa Kenya wangombea urais na mgombea mwenza kutokea vyama tofauti. Unaonaje ukiacha kujisahaulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…