Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
sawaSi umeona akili za lipumba zilivyomgaragaza boss wako seif! Na bado, hiyo ni treila tu bado muziki. Hadi atakimbia Pemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaSi umeona akili za lipumba zilivyomgaragaza boss wako seif! Na bado, hiyo ni treila tu bado muziki. Hadi atakimbia Pemba.
Kama ulivyo sema ni mission hivyo mahakama inaweza chelewesha maamuzi ili kumgarimu zaidi Malimu sef .unafuu wake ni kuchukua uamuz mapema ili aanze kujijenga kabla ya 2020.CUF HAITAKUWA IMARA TENA! MISSION IMEKAMILIKA KWA 80+℅
CUF sasa inaishilia, ni kama mpango unakamilika, mpango mkakati umetengenezwa kimkakati zaidi, kuhakikisha CUF haina nguvu tena, ili kuleta unafuu visiwani. Wabunge wa majimbo wakishavuliwa uanachama, majimbo yao yatakuwa wazi, uchaguzi utarudiwa, kama hujui ni mpango,: kumbuka kauli ya juzi ya mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, pale aliposema' ikiwa wabunge wa CUF watavuliwa uanachama, tume imejiandaa kwa dharula yoyote na bajeti ipo! Akili kumkichwa' mkurugenzi wa tume anazungumzia uchaguzi mdogo kwenye majimbo ambayo bado yana wabunge! MISSION
Lipumba sasa anatambuliwa na kila taasisi ya sirikali, anatambuliwa na Bunge, anatambuliwa na Msajili, anatambuliwa mpaka na taasisi ya jikoni! MISSION
Kete kwa upande wa CUF Halisi ilikuwa imebaki moja tu (MAHAKAMA) baada ya makosa kufanyika nyuma! Ndiyo makosa yalifanyika mwanzo kabisa kwa upande wa Maalim Seif kumdharau Lipumba na kumuona ni mtu mmoja tu anayetapatapa kisha atatulia, hawakumuona mapema aliyekuwa nyuma ya Lipumba! Hili lilikuwa Kosa kubwa! Wamekuja kushituka na kuiona nguvu yake kipindi ameingilia bodi ya wadhamini ya CUF! Hapo ndo walishituka na kumbe tayari walikuwa wamechelewa! Walipaswa kumshughulikia mapema!
Sasa kete ya mahakamani nayo inaanza kufeli, kwa nini nasema inafeli?
1😛amoja na kesi ya kutomtambua Lipumba na kauli ya Msajili kuwa mahakamani! Bado Lipumba ameendelea na shughuli za chama kwa kujitanua hadi kufukuza wabunge bila woga na hakuna mhimili unaohoji!
2: Kutupiliwa mbali kwa mapingamizi ya wabunge wa CUF waliovuliwa uanachama, ni pigo kubwa kwa upande wa Maalim Seif! Hata wakirekebisha vifungu walivyotakiwa kuvirekebisha, wao wako mahakamani, Lipumba anaendelea na shuguli za chama huku akijipanga kuwaita na kuwahoji wabunge wa majimbo!
3: Kutotambulika kwa maazimio ya CUF upande wa Maalim wa kuwavua ubunge wabunge wawili ni pigo kubwa pia.
NANI ALAUMIWE
1. Mtatiro;
Ndiyo, huyu ni mtu wa kwanza kabisa kulaumiwa na wana CUF' atanisamehe. Yeye alipewa jukumu kuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya CUF, Lakini amekuwa akifanya siasa za mtandaoni zaidi, kila Lipumba akifanya jambo, yeye huja kulalamika mtandaoni na hukomea kuandika tu bila ya kuelezea njia mbadala ( rejea post zake kwenye plofile yake) Sasa kama yeye kiongozi analalamika na kujibu mapigo ya Lipumba mtandaoni, wengine watafanyeje? Yeye huiongelea CUF baada tu ya Lipumba kufanya kisanga, Lipumba akiwa kimya' na yeye yuko kimya. Kwa hiyo amekuwa akicheza ngoma ya Lipumba!
2. Maalim Seif
Yeye namlaumu kwa kutochukua hatua mapema, Lipumba hakupaswa kupewa nafasi mapema, naye sasa amekuwa akijibu mapigo ya Lipumba tu badala ya Lipumba kujibu mapigo yake! Lipumba akiita Baraza lake, naye anaita lake, Lipumba akifukuza wabunge, naye anafukuza! Amechelewa sana!
NINI CUF YA MAALIM IFANYE?
Kwa sasa CUF ya Maalim imebanwa sana na Lipumba, na naona imebakiwa na option mbili tu!
1. Mahakama;
Mahakama pekee kwa sasa ndo imebaki kuweza kuamua kama CUF iwe ya Lipumba au ya Maalim. Na ikitokea mahakama ikaamua kuwa CUF iwe ya Lipumba, Maalim atabaki na option mbili tu, mosi kuungana na Lipumba au
2. Kuongeza nguvu CHADEMA.
Option ya mwisho kabisa kwa Seif ni kutangaza kuachana na siasa za CUF ya Lipumba na kuongeza nguvu upande wa CHADEMA. Faida kubwa kwa upande wa CHADEMA ikiwa hili litatokea, ni kupata wafuasi wengi Zanzibar bila chenga! Na hapo ndipo msemo usemao "Waliokuwa nyuma ya Lipumba waliruka mkojo wakakanyaga kinyesi" utatimia.
Sent using Jamii Forums mobile app
CUF HAITAKUWA IMARA TENA! MISSION IMEKAMILIKA KWA 80+℅

Hawakukosea kitu mkuu..Chadema walikosea kutangaza wazi kuingilia mgogoro wa cuf
Na huenda CCM isiwe mchawi kabisa kwa Cuf kwasababu yenyewe ndio mbabe wake Cuf, ila Chadema ilitaka kujisimika Zanzibar toka zamani ila kikwazo kilikuwa Cuf...CCM, Chadema na Lowasa hawa ndio wachawi wa CUF.....
Chadema na CCM kila mmoja anachekelea kimya kimya kwa kinachoendelea ndani ya CUF....
Mkuu poa mimi huumpa jibu mtu alitakalo na kustahili... mbona humu wengi tunajibishana vizuri tu.. ila ukija na comments tofauti utapata unachostahili... jifunze jf ilivyo... kama huwezi vumilia usiwachafue wengine...asante mkuu kwa maneno yako yanayo ashiria kupevuka na kuongoka-nimekufahamu na nimekuelewa
UKAWA si chama ni umoja vyama vipo na vinatakiwa viwepo katika asili yake kwa Afya ya siasa ya nchi.Huyu Maalim ndiye Mara zote amekuwa anaingia kwenye uchaguzi anaporwa Halafu anakwenda katika mazungumzo na wezi wake tena akiwa peke yake huku CCM wakiwa wengi. Kinachoendelea ni kwa wazanzibar kustuka na kujipanga upya katika harakati za ukombizi wa nchi yao.Wameuzwa Kiasi cha kutosha. Zindukeni nyieHivi wale wanaomshabikia Lipumba wanasemaje kuhusu UKAWA? Wanasemaje kuhusu ushindi wa Maalim kule visiwani??
Huu mchezo hauhitaji hasiraaaaaSikiliza ww ma t a kkko usipende kunifatafata kwenye koment zangu sawa ..unajua umri wangu ???tena usinizoee kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Usemacho haswaa ndicho kilichopo watu hawajui katiba yao wanafuata mawazo na mhemko tu,mwenzao kwa kuwa ni Msomi kawakamata kwenye Sheria wao wamebaki na magazeti.Kama upinzani tulionao ndio huu CCM itatawala mpaka ilete balaa maana Akili zao zimechoka ila warithi wenyewe hamna kitu.Hili mimi kidogo nalikataa kwa sbb:
1. Labda kabla ya kuhitimisha hivi, tujiulize katiba yao inasemaje kuhusu kuziba nafasi ya kiongozi (hasa ya m/kiti) aliyejiuzuru ama kuachichwa ama kufukuzwa kwa sbb ziwazo zozote zile...
2. Nakumbuka nafasi ya Ibrahim Lipumba, immeaditely baada ya kujiuzuru ilichukuliwa na Twaha Tasilima ktk kile kipindi cha mpito na baadaye nafikiri ndipo Mtatiro akawa m/kiti wa kamati ya uongozi...
Hii inaleta kujiuliza maswali haya:
Je, haya yote yalikuwa yanafanyika kinyume na taratibu zao ?
Na, je Msajili wa Vyama vya Siasa wakati huo alikuwa anatambua/alitaarifiwa kuwa Lipumba kama m/kiti wa CUF taifa alishajifuta kwa kujiuzuru mwenyewe ?
Msajili wa vyama vya siasa kwa kipindi chote ambacho Lipumba alishajiondoa CUF alikuwa anafanya kazi na nani kama m/kiti wa CUF taifa ?
Mimi sina imani na Sina hakika kabisa kuwa huko CUF kuna viongozi ambao hata hawajui taratibu za katiba yao wenyewe zinasemaje !!
Huyu atakuwa kaahidiwa kwenda ughaibuni kama Slaa akimaliza kazi ya sasaKama ni kweli, Lipumba anaiua CUF kwa mikono yake na njaa zake.
Damu na Jasho la waliopigania CUF wakati wa uchaguzi wakati yeye akiwa mapumzikoni vitamuandama maisha yake yote.
Dhambi mbaya sana hii..
Ni ajabu kubwa sana kwa mwanachama wa CUF kumsapoti huyu jamaa - kwani kila kitu kipo wazi kabisa kwamba anatumiwa na watawala kukisambaratisha chama.
Chadema wataweza ku-handle hiyo nass infkux ya Cuf Maalum?CUF HAITAKUWA IMARA TENA! MISSION IMEKAMILIKA KWA 80+℅
CUF sasa inaishilia, ni kama mpango unakamilika, mpango mkakati umetengenezwa kimkakati zaidi, kuhakikisha CUF haina nguvu tena, ili kuleta unafuu visiwani. Wabunge wa majimbo wakishavuliwa uanachama, majimbo yao yatakuwa wazi, uchaguzi utarudiwa, kama hujui ni mpango,: kumbuka kauli ya juzi ya mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, pale aliposema' ikiwa wabunge wa CUF watavuliwa uanachama, tume imejiandaa kwa dharula yoyote na bajeti ipo! Akili kumkichwa' mkurugenzi wa tume anazungumzia uchaguzi mdogo kwenye majimbo ambayo bado yana wabunge! MISSION
Lipumba sasa anatambuliwa na kila taasisi ya sirikali, anatambuliwa na Bunge, anatambuliwa na Msajili, anatambuliwa mpaka na taasisi ya jikoni! MISSION
Kete kwa upande wa CUF Halisi ilikuwa imebaki moja tu (MAHAKAMA) baada ya makosa kufanyika nyuma! Ndiyo makosa yalifanyika mwanzo kabisa kwa upande wa Maalim Seif kumdharau Lipumba na kumuona ni mtu mmoja tu anayetapatapa kisha atatulia, hawakumuona mapema aliyekuwa nyuma ya Lipumba! Hili lilikuwa Kosa kubwa! Wamekuja kushituka na kuiona nguvu yake kipindi ameingilia bodi ya wadhamini ya CUF! Hapo ndo walishituka na kumbe tayari walikuwa wamechelewa! Walipaswa kumshughulikia mapema!
Sasa kete ya mahakamani nayo inaanza kufeli, kwa nini nasema inafeli?
1😛amoja na kesi ya kutomtambua Lipumba na kauli ya Msajili kuwa mahakamani! Bado Lipumba ameendelea na shughuli za chama kwa kujitanua hadi kufukuza wabunge bila woga na hakuna mhimili unaohoji!
2: Kutupiliwa mbali kwa mapingamizi ya wabunge wa CUF waliovuliwa uanachama, ni pigo kubwa kwa upande wa Maalim Seif! Hata wakirekebisha vifungu walivyotakiwa kuvirekebisha, wao wako mahakamani, Lipumba anaendelea na shuguli za chama huku akijipanga kuwaita na kuwahoji wabunge wa majimbo!
3: Kutotambulika kwa maazimio ya CUF upande wa Maalim wa kuwavua ubunge wabunge wawili ni pigo kubwa pia.
NANI ALAUMIWE
1. Mtatiro;
Ndiyo, huyu ni mtu wa kwanza kabisa kulaumiwa na wana CUF' atanisamehe. Yeye alipewa jukumu kuwa mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya CUF, Lakini amekuwa akifanya siasa za mtandaoni zaidi, kila Lipumba akifanya jambo, yeye huja kulalamika mtandaoni na hukomea kuandika tu bila ya kuelezea njia mbadala ( rejea post zake kwenye plofile yake) Sasa kama yeye kiongozi analalamika na kujibu mapigo ya Lipumba mtandaoni, wengine watafanyeje? Yeye huiongelea CUF baada tu ya Lipumba kufanya kisanga, Lipumba akiwa kimya' na yeye yuko kimya. Kwa hiyo amekuwa akicheza ngoma ya Lipumba!
2. Maalim Seif
Yeye namlaumu kwa kutochukua hatua mapema, Lipumba hakupaswa kupewa nafasi mapema, naye sasa amekuwa akijibu mapigo ya Lipumba tu badala ya Lipumba kujibu mapigo yake! Lipumba akiita Baraza lake, naye anaita lake, Lipumba akifukuza wabunge, naye anafukuza! Amechelewa sana!
NINI CUF YA MAALIM IFANYE?
Kwa sasa CUF ya Maalim imebanwa sana na Lipumba, na naona imebakiwa na option mbili tu!
1. Mahakama;
Mahakama pekee kwa sasa ndo imebaki kuweza kuamua kama CUF iwe ya Lipumba au ya Maalim. Na ikitokea mahakama ikaamua kuwa CUF iwe ya Lipumba, Maalim atabaki na option mbili tu, mosi kuungana na Lipumba au
2. Kuongeza nguvu CHADEMA.
Option ya mwisho kabisa kwa Seif ni kutangaza kuachana na siasa za CUF ya Lipumba na kuongeza nguvu upande wa CHADEMA. Faida kubwa kwa upande wa CHADEMA ikiwa hili litatokea, ni kupata wafuasi wengi Zanzibar bila chenga! Na hapo ndipo msemo usemao "Waliokuwa nyuma ya Lipumba waliruka mkojo wakakanyaga kinyesi" utatimia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa na MOU kwa ajili ya uchaguzi. Katiba ya TZ hairuhusu muungano kwa ajili uchaguzi kama ilivyokuwa Kenya wangombea urais na mgombea mwenza kutokea vyama tofauti. Unaonaje ukiacha kujisahaulisha.Huko Chadema kila Mtu Ana sharubu Kama Kambale Mie sipawezi narudi CUF- Juma Duni Haji!