Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

Anaandika BICHWA KOMWE:-

Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana.

Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema.

Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa huyu bibie mwenye maakili mengi kisha akapewa ajuza mwenye itikadi za kigaidi? Hili nalo mkalitizame.

Mrembo wangu Culture Me Karibu sana Jamiiforums baada ya kupotea kwa muda mrefu.

Naamini makanjanja wa humu walikuchosha ukaamua uchukue likizo fupi huku ukilea ndoa yako baby!

Karibu sana. Mwaaah!
Sasa ndio naanza kuamini kwamba wewe ni mchele mchele. Huyo culture ni dume lisilotaka kuwa dume.

Kwa jinsi ulivyomnadi, inaonekana mpo karibu. It means na wewe ni wale wale
 
Back
Top Bottom