Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Mungu hajaumba roho, roho ndio pumzi yake mwemyeweMungu aliumba vitu 3
Roho(pumzi), mwili na nafsi.
Kiswahili mara nyingi ni shida ila ndo viko hivi.
Kwahiyo roho ndo Kila kitu kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hajaumba roho, roho ndio pumzi yake mwemyeweMungu aliumba vitu 3
Roho(pumzi), mwili na nafsi.
Kiswahili mara nyingi ni shida ila ndo viko hivi.
Kwahiyo roho ndo Kila kitu kwanza
Hebu soma vzr mwanzo wakati wa uumbajiMungu hajaumba roho, roho ndio pumzi yake mwemyewe
Mungu kaumba mwili na nafsi tu,roho ni moja holy one ndo tunayo itumia viumbe wote wenye mwili kutoka kwa munguHebu soma vzr mwanzo wakati wa uumbaji
Wewe si ulienda kuzaaUmenichekesha sana, hizo sifa zote zangu mimi, lol
Ahsante kwa kunikaribisha baby, hua nachungulia na kutoka, mods wa jf hawanipendi kichizi
UmenifananishaWewe si ulienda kuzaa
Aririiiiii!!I mic u more wifey [emoji8][emoji8][emoji8]
Lop u my honeybunny [emoji3059][emoji7]
Aririiiiii!!
Mume ninae, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Kwemaa?[emoji102]
Kwemaa?
Huku niko poa sanaa bwashee.Kwema Kabisa Mkuu. Hofu Huko Ulipo?
Alishawahi kupost picha yake hapa jukwaani.Umejuaje ni dume? alikufanya nini?