Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

nafsi zisizo na mwili
Nafsi na roho ni vitu viwili tofauti
(Soul and spirit)
spirit sio soul mkuu
Ila vyote viko ndani ya mwili na Kila kimoja kina kazi yake!
Nafsi ni daraja na mtafsiri Kati ya roho na mwili.

Na ukae ukijua "mtu ni roho"

Google kuhusu ,"succubus".....
 
Nimemisi enzi zile unawapa kisago makanjanja wa humu.

Nilikumiss sana, huwa unapotea bila taarifa jamaniiiiiiiiiiii
Hahahahaha bado nipo sana tu, wakileta ujuaji lazima wale kisago tu, lol

Kuna muda life inakaba napotea ili nipambane kibingwa si unajua tena,

Ila hua nasoma ukianza kuwakorofisha watu basi nacheka sana
 
Nafsi na roho ni vitu viwili tofauti
(Soul and spirit)
spirit sio soul mkuu
Ila vyote viko ndani ya mwili na Kila kimoja kina kazi yake!
Nafsi ni daraja na mtafsiri Kati ya roho na mwili.

Na ukae ukijua "mtu ni roho"

Google kuhusu ,"succubus".....
kiswahili haikieleweki.
Roho ni pumzi ya mungu
spirit ni ww mwenyew
mind ni source
 
jini mahaba ni influencer tu, Wanao weza kufanya ngono ni hybrid tu
 
kiswahili haikieleweki.
Roho ni pumzi ya mungu
spirit ni ww mwenyew
mind ni source
Mungu aliumba vitu 3
Roho(pumzi), mwili na nafsi.
Kiswahili mara nyingi ni shida ila ndo viko hivi.

Kwahiyo roho ndo Kila kitu kwanza
 
Back
Top Bottom