Hizo ni kama porojo,tuliokuwa tupo Moshi enzi hizo za Kamanda Chico tunajua nini kilikuwa kinafanyika pale CCP-Moshi so hizo hhabari za kuwa na passport nyingi ni hadithi tu za alinacha .Mimi nafahamu watu wengi tu kwenye hilo Jeshi la polisi waliotumia vyeti vya watu kuingia CCP.[/QUOTE
Thanks very much Mwakalinga. You nailed it well. Ninakubaliana na wewe kwa asilimia 50-60 ya askari polisi wa enzi hizo wa miaka ya nyuma (sijui kwa miaka ya karibuni hasa kuanzia 2005 tangu NECTA wafunguke macho) wengi wao ni vyeti fake. Nina watu kibao ambao walikuwa wananiomba copy ya vyeti vyangu ili wakafotoe kwa bahati nzuri sikuwahi kuwapa na kama kuna ambaye ameiba cheti changu nafikiri this time ni lazima mambo yawe hadharani. Thanks so much Mr. Maimu. He is doing his job!!!!!! Watu hamkumuelewa, hata kama askari wa sehemu nyeti iwe majeshi au polisi kama alibadilishwa jina ni lazima itaonekana maana katika zoezi hili wanahitaji cheti chako cha kuanzia ubatizo (wakristu), shule ya msingi, sekondari level zote, vyuo, passport, mpiga kura, TIN number, Drivers lisence, Birth certificate, etc. Sasa basi hata kama wewe ni usalama wa taifa cheti chako cha ubatizo hadi Chuo ni lazima kiwe na majina ya kufanana!!! Kama ulirudia shule ukapewa jina lingine hii inakuwa zaidi kwa ngazi ya shule ya msingi na ina maana cheti chako cha shule ya msingi kitakuwa tofauti na cha ubatizo. Kama kweli mtu amekuwa na cheti cha form iv na vi na kuendelea ambacho ni tofauti na cha darasa la saba halafu eti unasema ni jina tofauti alilopewa kiusalama nitakataa. Ninachofahamu ukiwa umeshaingia hizo sehemu nyeti ndipo unapewa jina la kazi but wanajuwa kabisa jina lako halisia ni MAAANE na si vinginevyo na unaweza kupewa majina hata hamsini kulingana na issue tofauti za kiusalama unazoshughulikia. Tatizo langu kwa nini cheti chako cha kidato cha nne kiwe tofauti na cha darasa la saba? Kweli utajitetea form four ulishakuwa na majukumu ya kiusalama ukawa umebadilishwa jina? Na hayo majina unayopewa ya bandia ni pale unapokuwa na cheo na jukumu kubwa kiusalama!!!!
Nchi hii wapo wenye vyeti fake tena vina division 1 au upper second za vyuo!!! Sasa tunawataka hadharani!!!
Long live Maimu and your team!!