CV ya Dickson Maimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa


Nilichanganya mkuu nilikua na maana hakukuwa na GUI ndio maana code ilikua inaandikwa ya hata kusave files, Treasury walikua na Mainframe ICL ME29. Kama sijakosea
 
weewe unayetaka cv ya wenzio yawezekana unayo ya cafteria au ya underweaR,,,, CV siyo issue ...weledi + cv
 

Mimi sijakataa kusoma kuzuri maana na mimi nimesoma tuu ila sikusoma kama Tanzania wanavyotaka Degree ya Kwanza na Masters - hawatambui Advanced Diploma na vyeti vinginewe vingi tuu kama ni kusoma, tunapotofautiana ni aina gani ya elimu.

Na kama mchangiaji mmoja alivyosema unasoma kwa malengo sio kujisomea tuu , mimi nikienda sasa hivi kuchukua Degree na Masters ya Computer Science nitakuwa na malengo gani ?, kama malengo nikupata kazi Tanzania yes I need to do that maana ndio mfumo uliopo

Kwa huku nilipo hata ningeenda na nikamaliza hiyo nikaenda kuajiriwa sitaongezea chochote kwenye Malipo yangu au Cheo, wataangalia tuu accomplishment zangu , yaani niende kusoma tuu ili nibandike cheti ukutani

Kama ingekuwa biashara zangu za consultancy zinakufa shauri sina MBA or CPA na nikafanya cost analysis nikaona kuajiri MBA na CPA at a long run its more expensive na kusoma kutanisaidia hapo nitaenda haraka kuzichukua maana sina hiyo backround lakini sitaenda tuu kusoma shauri niziweke kwenye Ukuta

Kuna watu wengi wamekuja Marekani na kusoma bila malengo na wakajikuta wako kwenye kazi zile zile na sana sana wametumia email ya pongezi kumaliza Masters, wako waliosoma kwa malengo kuangalia walichonacho wakabuild kidogo wamefanikiwa

Na kuna wengi waliosoma wakiwa na malengo ya kurudi bongo wakachukua Masters haraka sana wakafanikiwa sana waliporudi Tanzania
 
 
wekeni cv wakuu tunataka tusome tuone uwezo wake kabla hatuja hukumu
wewe wacha majungu mbona cv yako ujaweka toa buruti kwenye jiccho lako watu wengine mtawakuta maneno tuuu
kumbe ni mambu mbumbu kwisha weka CC yako tukupe kazi ya kuwa mkurungenzi mkuu wa vitambulisho vya Taifa
mnapenda tu kupost lakini hakuna vitendo .
 

Lazima tuhoji inaelekea hana ethics za Kudress officially
 
Huyo Mwaimu kwani ametokea wapi?4i wamemuweka wenyewe hao hao wenye vitambulisho vingi??au hujui wewe alikotokea??utaishia hivyo hivyo na utasubiri sana!!!!
Katokea Pale Kwa Kapilimba
 
Hahahah....mnachoooonga kumbe mshkaji mpiga dili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…