CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

Tunaweza kwenye professionalism na siyo kamati ya ufundi.
Simba ni timu kubwa sana.
 
Kwenye mpira unaweza kuwa na bonge la CV lakini mwisho wa siku ukashindwa kuifikisha timu popote pale.
Kwahiyo hutakiwi kusoma!? Tuwategemee akina mzee Mpili!?
Ondoa uzuzu mzee.
Football ya 1967 imepitwa na wakati.
 
The UEFA Pro Licence is the highest professional game coaching course we offer and is designed to develop highly-skilled and aspiring leaders, managers and coaches capable of creating sustained success in football.

Building on the technical knowledge you’ve developed on your learning journey, the focus is on developing winning team-leadership and management strategies that will challenge your knowledge and understanding of coaching.
 
The UEFA Pro Licence is the highest coaching certification available in Europe, and generally follows the completion of the UEFA 'B' and 'A' licences
 
Na vipi mmemuambia pia kwamba hamna uvumilivu, yaani mkifungwa mechi 1 tu anaondoka kesho yake asubuhi? 😛
 
Kwahiyo hutakiwi kusoma!? Tuwategemee akina mzee Mpili!?
Ondoa uzuzu mzee.
Football ya 1967 imepitwa na wakati.
Umeelewa nilichosema? Kusoma pekee sio guarantee ya kufanya kazi ipasavyo kwa vitendo. Ndio maana unaona watu wana masters ya kitu fulani lakini kwenye vitendo wako watupu vichwani wao wamejaza theory tupu vichwani.

Mpira hata hauna mbwembwe wa kuwa CV kubwa peke yake, Mourinho yule pale pamoja na kujijengea jina kwa kufanya mengi hapo nyuma lakini unaona anavyofeli kila anapoenda?
 
Acha uchawi mzee wangu!!! We ulisikia wapi hii
Utakuwa mpira haujui ndio maana umeshangaa na kuniita mchawi, ila sisi tunaofatilia mpira tunajua hilo. Sio makocha wote wanaotimuliwa kwenye timu zao wana CV ndogo. Kuna makocha wana CV kubwa kuliko hata huyo Pablo lakini wametimuliwa kwa kufeli. Mpira hautegemei CV kubwa pekee ya kocha.
 
Umeelewa nilichosema? Kusoma pekee sio guarantee ya kufanya kazi ipasavyo kwa vitendo. Ndio maana unaona watu wana masters ya kitu fulani lakini kwenye vitendo wako watupu vichwani wao wamejaza theory tupu vichwani.

Mpira hata hauna mbwembwe wa kuwa CV kubwa peke yake, Mourinho yule pale pamoja na kujijengea jina kwa kufanya mengi hapo nyuma lakini unaona anavyofeli kila anapoenda?
Soma kijana achana na ndumba.
Yaani kocha kaaminiwa na Real Madrid kuwa assistant coach, chini ya Zidane,
Wewe kutoka kwa mparange unakuja kuketa hoja za kindezi.

Ondoa ujinga dogo. Achana na mambo ya kutegemea uchawi.
 
Utakuwa mpira haujui ndio maana umeshangaa na kuniita mchawi, ila sisi tunaofatilia mpira tunajua hilo. Sio makocha wote wanaotimuliwa kwenye timu zao wana CV ndogo. Kuna makocha wana CV kubwa kuliko hata huyo Pablo lakini wametimuliwa kwa kufeli. Mpira hautegemei CV kubwa pekee ya kocha.
Nitajie kocha ambaye hana CV na amepata mafanikio.

Unajua hata maana ya CV!?
 
Back
Top Bottom