Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #21
Siku hizi Haji Manara mnamwita Barbra!?Barbra! We' hukusikia?
Kwani anasukumiziwa ball!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi Haji Manara mnamwita Barbra!?Barbra! We' hukusikia?
Ana UEFA Pro licence . Muda ndio hakimu mzuri.Mbona hana leseni ya CAF?
Ataruhusiwa kukaa benchi?
Unajua kusoma kingereza mzee!?Mbona hana leseni ya CAF?
Ataruhusiwa kukaa benchi?
Kwahiyo hutakiwi kusoma!? Tuwategemee akina mzee Mpili!?Kwenye mpira unaweza kuwa na bonge la CV lakini mwisho wa siku ukashindwa kuifikisha timu popote pale.
Mkuu, unadhani wanaweza kurudia yale makosa? Hawana hamu. Yule Da Rosa angekuwepo benchi kwenye ule mchezo, wala Simba ISINGEFURUSHWA kirahisi vile, kwenye michuano ile!Mbona hana leseni ya CAF?
Ataruhusiwa kukaa benchi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkausishie jamaaUnajua kusoma kingereza mzee!?
Acha uchawi mzee wangu!!! We ulisikia wapi hiiKwenye mpira unaweza kuwa na bonge la CV lakini mwisho wa siku ukashindwa kuifikisha timu popote pale.
Umesoma CV yake!?Na vipi mmemuambia pia kwamba hamna uvumilivu, yaani mkifungwa mechi 1 tu anaondoka kesho yake asubuhi? 😛
Umeelewa nilichosema? Kusoma pekee sio guarantee ya kufanya kazi ipasavyo kwa vitendo. Ndio maana unaona watu wana masters ya kitu fulani lakini kwenye vitendo wako watupu vichwani wao wamejaza theory tupu vichwani.Kwahiyo hutakiwi kusoma!? Tuwategemee akina mzee Mpili!?
Ondoa uzuzu mzee.
Football ya 1967 imepitwa na wakati.
Utakuwa mpira haujui ndio maana umeshangaa na kuniita mchawi, ila sisi tunaofatilia mpira tunajua hilo. Sio makocha wote wanaotimuliwa kwenye timu zao wana CV ndogo. Kuna makocha wana CV kubwa kuliko hata huyo Pablo lakini wametimuliwa kwa kufeli. Mpira hautegemei CV kubwa pekee ya kocha.Acha uchawi mzee wangu!!! We ulisikia wapi hii
Soma kijana achana na ndumba.Umeelewa nilichosema? Kusoma pekee sio guarantee ya kufanya kazi ipasavyo kwa vitendo. Ndio maana unaona watu wana masters ya kitu fulani lakini kwenye vitendo wako watupu vichwani wao wamejaza theory tupu vichwani.
Mpira hata hauna mbwembwe wa kuwa CV kubwa peke yake, Mourinho yule pale pamoja na kujijengea jina kwa kufanya mengi hapo nyuma lakini unaona anavyofeli kila anapoenda?
Nitajie kocha ambaye hana CV na amepata mafanikio.Utakuwa mpira haujui ndio maana umeshangaa na kuniita mchawi, ila sisi tunaofatilia mpira tunajua hilo. Sio makocha wote wanaotimuliwa kwenye timu zao wana CV ndogo. Kuna makocha wana CV kubwa kuliko hata huyo Pablo lakini wametimuliwa kwa kufeli. Mpira hautegemei CV kubwa pekee ya kocha.
Unamaanisha CV ya aina hiyo ndiyo huwa hawafungwi??.Umesoma CV yake!?