Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unafahamu lakini makubaliano ya Muungano?Sio kila mtu ana shida kama huyo Shaka. Kwanza hii tabia ya wazanzibari kupata madaraka huku, wakati Wabara hawakubaliwi Zanzibar bado tunawacheck sana.
Mkuu unafahamu lakini makubaliano ya Muungano?
Mlipoiondoa JKT ya kila kijana kwenda mlikuwa mnazalisha haya makasiriko.Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Ingawa napinga uhuni wa CCM lakini naheshimu Muungano wetuWw ndio unafahamu makubaliano ya ule uhuni. Wajinga ndio waliwao.
Hebu tujifunze kuchagua maneno na pia na namna bora ya kuyatumia. Kutumia maneno kama "kumvimbia kichwa, kukataa, kususia" na mengine kama hayo ni kutokuwatendea haki wahusika. Nafikiri maneno yaliyopaswa kutumika ni kuwa "hawakuridhia ama hawakuwa na utayari katika kukasimiwa majukumu hayo"Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Sahihi kabisa, Sisi Leo ni Ndg, lazima tuuheshimu na kuuthamini Muungano wetuIngawa napinga uhuni wa CCM lakini naheshimu Muungano wetu
Kama kuna issues zizungumzwe yajengwe tuishi kama ndugu
Ingawa napinga uhuni wa CCM lakini naheshimu Muungano wetu
Kama kuna issues zizungumzwe yajengwe tuishi kama ndugu
Faida za Muungano ni kubwa kuliko huo ujinga unaowaza kiongoziMkuu una haki ya kuheshimu chochote ikiwemo huo muungano maana ni haki yako. Lakini kero ambazo hazitatuliwi miaka dahari, ni utapeli kama utapeli mwingine.
Sio marupurupu pengine wanajambo na wameibana sehemu serikaliHebu tujifunze kuchagua maneno na pia na namna bora ya kuyatumia. Kutumia maneno kama "kumvimbia kichwa, kukataa, kususia" na mengine kama hayo ni kutokuwatendea haki wahusika. Nafikiri maneno yaliyopaswa kutumika ni kuwa "hawakuridhia ama hawakuwa na utayari katika kukasimiwa majukumu hayo"
Ni dhahiri hao ni watu wenye maadili mema mpaka kuweza kufikiliwa kuwa wanafaa katika teuzi hizo za ukuu wa wilaya. Pengine wana hoja nzito kuhusu mgongano wa maslahi kwa nafasi za uongozi wanazozishikilia kwa sasa, hali iliyopelea kushindwa kuwa na utayari.
Si jambo la maana kuanza kuwahukumu kwa utovu wa nidhamu hadharani wakati hutujui chochote kuhusu maudhui ya majibu yao kuhusiana na kukosa kwao utayari.
Na hilo ni jambo la faragha kati yao na mamlaka yao ya uteuzi. Hivi unatambua sababu iliyopelekea maDC wengine kutumbuliwa, pengine wanajihisi hawana uwezo kwa majukumu waliyopewa na mamlaka yao uteuzi.
Pengine kazi wanazofanya kwa sasa zina marupurupu kwa kulinganisha na nafasi za uDC, pengine wengine ni kwa kutaka tu 'peace of mind", pengine ni kwa sababu ya "security of tenure", pengine ni kwa sababu ya "organization citizenship" pengine zinaweza zikawa nyingi, lakini majibu yao ya kukosa utayari ndiyo ni jambo la msingi kulitambua.
Faida za Muungano ni kubwa kuliko huo ujinga unaowaza kiongozi
Unadhani streath yao ni nini?Kwa mara yakwanza kaliba ya ualimu imeonesha uthubutu na kujitambua
Umoja na udugu wetu,Faida zake ni nini boss. Hebu weka tatu zenye mashiko.
Umoja na udugu wetu,
Mimi hapo ndio nimewashangaa; bado wapo kwenye system halafu wanaikataa system!!. Kwakweli hawakushauriana vizuri na naamini yupo aliyeburuzwa na mwenzie.Yaani nadhani watajua hawajuiHao wamekataa uteuzi kwasababu ya maslahi yao binafsi na wala si kwamba wanatetea taaluma yao!! Kama wangekuwa wanaipenda kweli taaluma yao ya uwalimu wasingekimbilia kugombania vyeo vya kiuongozi huko CWT, wangebaki kufundisha watoto darasani. Yaani kwa kifupi huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu kupangiwa kufanya kazi na boss wako mkuu na kumgomea, halafu bado unahitaji ufanye kazi nyingine ambayo boss ndo yuleyule. Mimi ndo ningekuwa boss nisingekubali hiyo dharau
Sio kila mtu anaishi kwa kujipendekeza kama shaka na wewe.Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Wewe utakuwa chawa wakeLabda utueleze Kama Unamfahamu vizuri Ila Jamaa ni bongo la kiongozi