Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Hii inaonyesha tuna jeshi la polis dhaifu sana...... Mpaka leo huyo mtu ajakamatwa kwa uchochezi, ila mm nikisema leo kuhusu, bashite, babatake au sirro dakika 0 niitakuwa nimetoweka.
 
Musiba alikuwa mwandishi wa habari na mtangazaji channel Ten. Sasa aliajiliwa na nani? Je alikuwa anamchango gani?

Kiki za kupata ubunge aligombea mwibala kura za maoni tu hakupata hata kura 10 sasa nduguze tu walimjua jamaa ni kiazi tu.
 
Musiba alikuwa mwandishi wa habari na mtangazaji channel Ten. Sasa aliajiliwa na nani? Je alikuwa anamchango gani?

Kiki za kupata ubunge aligombea mwibala kura za maoni tu hakupata hata kura 10 sasa nduguze tu walimjua jamaa ni kiazi tu.
 
...wewe ni haohao kina musiba... wote makenge..mbwa mnaotumiwq Na watawala...

Hawa wezi kwenda mahakamani wakithubutu Bwana Msiba atawaacha hukohuko wakikutana na Sugu na kutofautiana vifungo tuuu.Hata Sasa hawaamini wamegundulikaje
 
HUYU MTU KWA MAONI YANGU NDIYE HATARI. ANAICHONGANISHA SERIKALI YETU NA NCHI ZINGINE ZAIDI YA KUCHOCHEA CHUKI MIONGONI MWA JAMII. HUYU NDIYE HASA ANAYEPASWA KUSHITAKIWA KWA UCHOCHEZI.
Tisha toto, hakuna mtu hatari kwa taifa letu anaetangazwa ki comedy kama vile. Hamjui kutofautisha kati ya nchi na familia?
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???






View attachment 701577

Mlivyo wanafiki,kwanza ungeanza kumuuliza mpiga debe wenu mdada anaeishi Marekani Mange Kimavi,je yeye katumwa na nani kwa matusi anayoporomosha mitandaoni na nyie kufurahi kama vile mnatumia masaburi kufikiri.mbona hatuwasikia kutoa mijipovu kama unavyojitia sasa .
 
Anasema FBI ni Shirika La Ujasusi! Wakati mimi ninajua Shirika La Ujasusi la Marekani ni CIA na si FBI! ni shirika la Upelelezi!
 
Ndo maana nasema; Watu weshawehuka kabisa. Utathubutuje kuitukana nchi kama USA na Ujerumani na England?? Yaani tumefika mahali pa kulichokoza jibwa lililo lala kichakani kweli. Nadhani kama serekali haitasema lolote juu ya uhuni huu basi yatakayo tupata ni yetu tuyapokee

Freedom of speech
 
Wajameni nimepitia maeneo kadhaa watu wanabishana kuhusu jina halali na halisi la Cyprian Musiba wengine wanaomjua vizuri kwao hilo jina sio lake ni jina feki na la cheti feki, wajameni wanaomjua zaidi huyu mtangazaji aweke majina yake halali hapa.
 
Back
Top Bottom