Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania.

Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu.

Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina. Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia

1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Kweli Moderator mwaka huu umeniamulia Musiba kaweka orodha yake mimi nimeweka yangu mmeziunganisha duu.... Shikamoo moderator
 
Hilo jina lake tu (Musiba) ni janga, ukijumlisha na kimo chake jibu linakuwa KILAZA
 
Kwakweli nimejisikia aibu sana kwa hilo hasa km hizi video zitarushwa mpk huko USA, watatuona we Tanzanians hatuko serious watatudharau !kuituhumu FBI inataka kuingilia Usalama wa nchi fulani ni sawa na kusema Polisi ya Tanzania wanaingilia usalama let say wa kenya ? Kwa kweli ametuaibisha kushindwa kujua Shirika la ujasusi la USA ni CIA ameondoa uzito kabisa wa taarifa yake hata km ilikuwa na Mantiki!nafikiri hata hao American hawatajisumbua ku respond kwa hii allegations maana amechemka haswa, mimi sishabikii siasa lkn kwa hili nimesikitishwa sana sipati picha Trump atakavyoendelea kutudharau Africans.
Napendekeza kabla mtu hajafanya Press conference yenye Mlengo wa kimataifa kuwepo na mamlaka itakayo pitia taarifa zake kabla.
Marekani hawezi kujipu uharo. Serikali hujibu tuhuma kutoka serikali nyingine, sio kutoka kwa wahuni. Musiba ni nani hata Marekani wamjibu?

Mtu hajui hata maana ya CDU itampa uzito gani?

Hovyo kabisa.
 
Blackmail za Makonda, wamemtuma afanye makusudi wakijua chadema watakuja juu kisha wapate sababu ya kuwabambikia kesi, njama zimesukwa na Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na Makonda.

Ndo maana nasema; Watu weshawehuka kabisa. Utathubutuje kuitukana nchi kama USA na Ujerumani na England?? Yaani tumefika mahali pa kulichokoza jibwa lililo lala kichakani kweli. Nadhani kama serekali haitasema lolote juu ya uhuni huu basi yatakayo tupata ni yetu tuyapokee
 
Ili uamini Kuwa ametumwa na wakubwa wa serikalini, hataitwa na vyombo vya dola ili kueleza namna Hao aliowataja wanahusika na uhalifu wa usalama wa taifa. Angekuwa ni mtanzania wa chama kingine ametoa tuhuma hizo, mpaka sasa angekuwa ameshatiwa nguvuni ili asaidie upelelezi.

Ccm oyeeee
 
FBI, CIA ndo wale wale.

Watz bwana. Kuibiwa na kuhujumiwa hamtaki. Kupewa Habari kuwa kuna watu wanapanga au wanawaibia au wanawahujumu pia hampendi. Loh,
Siku zote alikuwa wapi mpaka aliposikia Mange anahamasisha Maandamano?
 
Huyo ni jamii ya juma nkhangaa wapo timu yamaka saba ask ni washabuliaji viungo ni ..... lugola na wengine. Wote kichwani hamna wanamwingiza king jamaa. Ndiyo maana watu hawana time nao.
 
Akili ndogo inapopewa nafasi tatizo linakuwa kubwa badala ya kuongezeka.
Ukuangalia list ya watu 10 waliotajwa na Musiba utagundua ni watu wa mtazamo flani. Hakuweza hata kuchanganya watu tofauti ili kuweka angalau legitimacy ya hoja yake.
Siku hizi kuna "Watu wasiojulikana" ambao tayari tumeona madhara yao mara kadhaa. Vifo, mashambulio, mateso, n.k. yametokea na taarifa kutolewa kuwa vitendo hivyo vimefanywa na watu wasiojulikana.
Nilifikiri kama kweli Musiba alikuwa na hoja ya msingi watu hawa walipaswa kuwekwa kwenye nafasi ya kwanza kabisa kwenye list yake.
Tofauti na hapo ameweka watu ambao "ni hatari kwa usalama wa taifa" kwa hisia tu na kuwaacha hawa ambao wameleta vilio na majonzi makubwa miongoni mwa watanzania.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???






View attachment 701577
Anatumwa na TANESCO
 
Musiba ni bwege tu na elimu yake ndogo aliyokuwa nayo. Anatakiwa ajue anachoongea eti Mange Kimambi ni raia wa Marekani na pia FBI ni shirika la kijasusi la Marekani. Shirika la kijasusi la Marekani ni CIA siyo FBI. Akili yake pumba tupu.
 
Naona tunazidi kukaribisha zama za warongo, wafitini, wazandiki na waropokaji kutawala.
Wenye akili wamemua kuwa watazamaji na wasikilizaji halafu watu wa ovyo ovyo ndio wanshuka hatamu kwa kasi
 
Mkuu acha ujinga hakuna anayependa hicho ila bado hatujafikia huko

Misaada INA umuhimu sana kwa afrika kwa kuwa bado hatujajiweza

Kwahiyo tuone ufahari kuomba kuomba siyo?, hivi unajua kwanini sisi ni omba omba pamoja na rasilimali lukuki tulizonazo? Hivi unajua ni chama gani kimetufanya tuwe tulivyo sasa?. Kama tunafurahia msaada basi kubali yatokanayo na misaada hiyo.
 
Jamaa alipotaja FBI tu nikajua kuna tatizo mahali...kama hajui jurisdiction ya CIA na FBI then tumsamehe tu. Ubongo kila mtu anao ila tunautumia kwa njia tofauti.

Ila tukumbuke anasema kwa niaba ya Serikali Mkuu..
Hawezi kubweka hivi hivi kama haja tumwa ujue ..Ni lazima kuna kitu nyuma ya hili ..
 
mbwa tu huyo......alafu anavoongea unaona kabia SHE has a very low thinking capacity? maambukizi ya bashite na mzee wa phd feki.....
zamani za BABA WA TAIFA ccm ilikuwa inawandaa vijana kuwa viongozi wa baadae siku hizi ccm inafanya kazi ya kuandaa magenge ya uhalifu na ambao hawana reasoning hata kidogo km mwenyekiti wao......ni mwendo wa kukurupuka tu na kutumika km condom au toilet pepa
 
Back
Top Bottom