Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Naona kwenye gazeti hapo kuna mtu katajwa anaitwa "jamii forums" Picha yake ipo chini upande wa kulia.
cc JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kwenye gazeti hapo kuna mtu katajwa anaitwa "jamii forums" Picha yake ipo chini upande wa kulia.
PoleWaliokuleta duniani ndiyo janga kabisa bora hata wangetumia nyota ya kijani.
Maxcence Melo huyoNaona kwenye gazeti hapo kuna mtu katajwa anaitwa "jamii forums" Picha yake ipo chini upande wa kulia.
Anaweza kuthibitisha?FBI, CIA ndo wale wale.
Watz bwana. Kuibiwa na kuhujumiwa hamtaki. Kupewa Habari kuwa kuna watu wanapanga au wanawaibia au wanawahujumu pia hampendi. Loh,
Yeah nilikuwa nawaza tu kwanini wametumia jina la Jamiiforums badala ya mxcence Melo.Mxcence Melo huyo
Musiba anatafuta nafasi wenzake waliokosa wanaonyimwa nafasi ndo kama huyu bwana Bashe hapo chini, mi namuona yupo kwa maono yake kuna kitu anatafuta na si kingine ni pilublicity ni kama hamorapa kwanye siasaUnapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
View attachment 701577
Kwakweli nimejisikia aibu sana kwa hilo hasa km hizi video zitarushwa mpk huko USA, watatuona we Tanzanians hatuko serious watatudharau !kuituhumu FBI inataka kuingilia Usalama wa nchi fulani ni sawa na kusema Polisi ya Tanzania wanaingilia usalama let say wa kenya ? Kwa kweli ametuaibisha kushindwa kujua Shirika la ujasusi la USA ni CIA ameondoa uzito kabisa wa taarifa yake hata km ilikuwa na Mantiki!nafikiri hata hao American hawatajisumbua ku respond kwa hii allegations maana amechemka haswa, mimi sishabikii siasa lkn kwa hili nimesikitishwa sana sipati picha Trump atakavyoendelea kutudharau Africans.Nimelazimika kuangalia hii video.
Kwanza nimecheka sana. Siwezi kumbishia Bwana Msiba maana anaweza kua na sababu zake hata kama ni za kipumbavu ila bado anaziamini kua ni sababu.
Nilichogundua elimu ndogo na uelewa mdogo bado ni changamoto katika jamii yetu, kama huyu alikua mtangazaji na mwandishi wa ha ari basi hii nchi ina matatizo makubwa.
Kwanza Musiba anaonekana hajui au hana ufaham kabisa tofauti kati ya FBI na CIA. Anaituhumu FBI lakini kimantini ni CIA kama kweli anachokisema kiko hivyo, FBI haifanyi kazi za ujasusi na haivuki mipaka ya Marekani, hawa ni polisi wa Marekani na sio taasisi ya kijajusi nje ya Marekani.
Pili, Musiba hata maneno ya kawaida tu yanamshida kuyasarufisha, Uasi yeye anasema ni Uhasi.
Little learning is very hazardous. Stupidity is still common among Tanzanias.
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???