Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Jina lake lililozoeleka nyumbani kwao kijijini ni MAAGI
baba yake ni marehemu MULAGA
mama yake alifariki mwaka Jana anaitwa NYAMAAGI
kaka yake mmoja alikuwa anaitwa MINYANYA naye ni marehemu
 
So umeanza vizur Endelea
 
Wajameni nimepitia maeneo kadhaa watu wanabishana kuhusu jina halali na halisi la Cyprian Musiba wengine wanaomjua vizuri kwao hilo jina sio lake ni jina feki na la cheti feki, wajameni wanaomjua zaidi huyu mtangazaji aweke majina yake halali hapa.
Alibadili jina la kuzaliwa au wamjualo nalo wa nyumbani kwa njia za mamlaka za kiapo cha kubadili majina kwa mujibu wa sheria za nchi hii.

Hata mimi nimebadili juzi ila nyumbani wananijua kwa jina langu ila kwenye formal settlements natumia my legally acquired name by way of a solemn oath.
 
Alibwagwa na Kangi Lugola Kura za maoni
Musiba ni jina la babu yake mzaa baba
Crispian atakuwa alilitumia wakati akijiendeleza kitaaluma
 
Wajameni nimepitia maeneo kadhaa watu wanabishana kuhusu jina halali na halisi la Cyprian Musiba wengine wanaomjua vizuri kwao hilo jina sio lake ni jina feki na la cheti feki, wajameni wanaomjua zaidi huyu mtangazaji aweke majina yake halali hapa.
Jina halituhusu,acha ateme madini,tuyajue magenge ya wahuni waliojificha kwenye siasa na demokrasi,ni mtu muhimu sana kwa sasa kuliko hilo jina ,hata mbwa ana jina lake tofauti na mbwa,alilopewa na anayemlinda,cha msingi kazi anaifanya kulisaidia taifa,kama anasema uongo mahakama zipo nendeni mkajimalizie huko
 
Majina ndo hayo
Hajaiba jina la mtu
Namfaham vizuri
Ni kada mwaminifu wa ccm
 
Jina halituhusu,acha ateme madini,tuyajue magenge ya wahuni waliojificha kwenye siasa na demokrasi,ni mtu muhimu sana kwa sasa kuliko hilo jina ,hata mbwa ana jina lake tofauti na mbwa,alilopewa na anayemlinda,cha msingi kazi anaifanya kulisaidia taifa,kama anasema uongo mahakama zipo nendeni mkajimalizie huko
Hahaha kweli wapumbavu husifiana
 
Hakuna haja ya kusaka jina lingine kwani hilo jina MSIBA ni kilio cha CCM wamekaribisha Nuksi yaani msiba wa chama Kitendo cha kumtumia mpenda kilio na mateso kwa Wapinzani Mungu hapendi ndiyo maana CCM wamejisahau na kumtumia kuropoka ujinga ujinga mpaka wasiojulikana sasa wameanza kujulikana na kusaidia Albadri ya Lisu kuwanasa vyema.
 
Kwa sasa wana CCM wengi wameanza kuchukizwa na kumtumia msiba kutengeneza Propaganda za kishamba shamba toka kolomije na chato.
 
Jina lake lililozoeleka nyumbani kwao kijijini ni MAAGI
baba yake ni marehemu MULAGA
mama yake alifariki mwaka Jana anaitwa NYAMAAGI
kaka yake mmoja alikuwa anaitwa MINYANYA naye ni marehemu
Kama mnatoka kijiji kimoja vile. Nahitaji kukufahamu zaidi. Mafaili yetu hapa ofisini yanaonyesha kuwa Cyprian siyo lake lakini MUSIBA ni la babu yake kabisa mzaa baba yake. Kuna watu wamejaribu kutumia ujanja katika kuiba majina ya watu. Na yeye ni mmoja wao. Kuna wakati katika harakati zake za kielimu aliitwa Obeid - jina la kwanza. Alikuwa kijana mzuri lakini naona njaa imemtoa ufahamu. Wala hatumiwi kama watu wanavyofikiria. Anatafuta tu kasehemu ka kugangia njaa. Anajaribu kuongeza visibility yake kwa akina Bashite ili atupiwe angalau kamfupa tu.
 
Wajameni nimepitia maeneo kadhaa watu wanabishana kuhusu jina halali na halisi la Cyprian Musiba wengine wanaomjua vizuri kwao hilo jina sio lake ni jina feki na la cheti feki, wajameni wanaomjua zaidi huyu mtangazaji aweke majina yake halali hapa.
Naskia jamaa alipata mafunzo ya redbrigade? Msaada wenu wadau
 
Umusolopogasi watu humu jf ni watulivu sana
Tulia kijana
Alikuwa mchezaji mzuri Sana wakati tukicheza mpira(sembo)
Baadaye Kama sikosei alikwenda Kwan marehemu Kaka yake hukoTabora
Naishia hapo usinitafute tena
 
Jina lake lililozoeleka nyumbani kwao kijijini ni MAAGI
baba yake ni marehemu MULAGA
mama yake alifariki mwaka Jana anaitwa NYAMAAGI
kaka yake mmoja alikuwa anaitwa MINYANYA naye ni marehemu
kwaiyo bado kidogo naye atakuwa marehemu!
 
Jina halituhusu,acha ateme madini,tuyajue magenge ya wahuni waliojificha kwenye siasa na demokrasi,ni mtu muhimu sana kwa sasa kuliko hilo jina ,hata mbwa ana jina lake tofauti na mbwa,alilopewa na anayemlinda,cha msingi kazi anaifanya kulisaidia taifa,kama anasema uongo mahakama zipo nendeni mkajimalizie huko
Mnao uwezo wa kuwakabili wamarekani waingereza na hata wajerumani? Au kinachowahangaisha ni albadir ya waislamu wa kweli na maombi ya makanisa ya wokovu?
 
Back
Top Bottom