peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kama hana uwezo wa kulipa kiasi hicho adhabu yake ni kwenda Jela na Mdai anapaswa kugharamia gharama za chakula kwa kipindi chote atakachokuwa gerezaniLabda ni kufungwa
Kwa bilioni 6, Bernard Membe naye nayo kazi ya kumlisha musiba huko magereza milele.Kama hana uwezo wa kulipa kiasi hicho adhabu yake ni kwenda Jela na Mdai anapaswa kugharamia gharama za chakula kwa kipindi chote atakachokuwa gerezani
Mmhh!! Mdai amlipie tena chakula!!Kama hana uwezo wa kulipa kiasi hicho adhabu yake ni kwenda Jela na Mdai anapaswa kugharamia gharama za chakula kwa kipindi chote atakachokuwa gerezani
Kama hana uwezo wa kulipa kiasi hicho adhabu yake ni kwenda Jela na Mdai anapaswa kugharamia gharama za chakula kwa kipindi chote atakachokuwa gerezani
Yeah iko hivyo .. otherwise mdai akishindwa kumgharamia mfungwa gerezani mahakama inamuachia huruKwa bilioni 6, Bernard Membe naye nayo kazi ya kumlisha musiba huko magereza milele.
Hiki kipengele cha pili ni cha ajabu kweli, kwa nini isingekuwa afungwe gerezani na kufanya kazi za umma mfano kufagia barabara, kufyeka majani na kukata miti/matawi, kusafisha vyoo vya umma kwenye maofisi ya umma, mahospitali etc etc??Kwenye hizi Kesi za madai inaweza kuwa hivi Kama mdaiwa hajalipa:-
1. Unaomba Mahakamani kukazia hukumu huku ukiambatisha Mali unazozijua za mdaiwa ili mahakama iziuze ili ulipwe fedha unazodai.
Mahakama itazikamata Mali hizo kwa kutumia mabroker wake na kuziuza ili ulipwe.
2. Kama Hana Mali zozote unaweza kuitaka mahakama iamue mtu huyo unayemdai akae jela kwa gharama zako hadi atakapokulipa fedha unazomdai
Haki ya nani Membe kwa kumkomesha atalipa hizo gharama za jela. Membe Kwa hasira aliyo nayo nakwambia atalipa wala hakamati Mali. Musiba ana Mali gani za billion 6. Karume naye 7.5 BN na Prof Tibaijuka 80m za mboga.Kwenye hizi Kesi za madai inaweza kuwa hivi Kama mdaiwa hajalipa:-
1. Unaomba Mahakamani kukazia hukumu huku ukiambatisha Mali unazozijua za mdaiwa ili mahakama iziuze ili ulipwe fedha unazodai.
Mahakama itazikamata Mali hizo kwa kutumia mabroker wake na kuziuza ili ulipwe.
2. Kama Hana Mali zozote unaweza kuitaka mahakama iamue mtu huyo unayemdai akae jela kwa gharama zako hadi atakapokulipa fedha unazomdai
Alafu hiyo fidia mdai alipwe na serikali sioHiki kipengele cha pili ni cha ajabu kweli, kwa nini isingekuwa afungwe gerezani na kufanya kazi za umma mfano kufagia barabara, kufyeka majani na kukata miti/matawi, kusafisha vyoo vya umma kwenye maofisi ya umma, mahospitali etc etc??
Sasa hizi kesi zinamaana gani kumfungulia mtu wakati kiasi unachodai mdaiwa hawezi kulipa? Sikupoteza muda tu kama mwishoni mdaiwa anaachiwa huru ten, yaani umdai mtuhumiwa then umlipie kifungo Tena!!Yeah iko hivyo .. otherwise mdai akishindwa kumgharamia mfungwa gerezani mahakama inamuachia huru
Mawazo yako ndo haya haya ya hovyo kila sikuPata picha Fatma Karume anamwambia Musiba lipa deni langu, kwa jicho legevu jamaa anajibu "nifanye utakacho wewe, mi ni wako"
Jina lenyewe bujibuji LA hovyo, avatar ya hovyo na bado unahangaika na MTU wa hovyo.Mawazo yako ndo haya haya ya hovyo kila siku