Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Mahakama imetoa siku 14 tu Musiba awe amemlipa mzee Membe.

Ikumbuwe mzee Membe alishinda kesi na mahakama ikamuamuru Musiba kumlipa.

Sasa naona ndiyo kumekucha na naiona hata ile hukumu ya Fatuma Karume nayo itaibuka muda siyo mrefu.View attachment 2589355
Chondechonde walinda legacy wenzangu tafadhali tujitokeze kumchangia mzalendo mwenzetu musiba. Kama maandiko matakatifu yanasema "hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe" bas hili halikwepeki wazalendo wenzangu kuwahi kutokea tangu uhuru. Tujichange tafadhali!!
 
Defamation haina uwakilishi Kwa mjibu wa Sheria zetu, Yule aliyetukanwa ndiye anatakiwa kulalamika tu na sio vinginevyo.
Acheni kukurupuka kupost vitu msivyovifahamu
Hukumu hii, imemuma sana, anaingiza mambo ya Magufuli kutukanwa,

Musiba alikuwa na mambo ya kipuuzi sana,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Labda huo uamuzi uwe unamhusisha kigogo lkn siyo kajambanani
Ha Ha Ha Mama Anaweza Akawapa Juice Wakanywa Pamoja Wakatoka Meno 30 Nje.

Vuguvgu Lote Hili La Ngosha V/s Msoga Wenda Tunaibiwa Muda.

Wacha Tuone Analipwaje Hyo 9.B
 
Back
Top Bottom