econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Anazo wapi...aliishia kula breakpoint na Rose garden alipokuwa analishwa maneno ya kuchafua hali ya hewa!
Aiseeh! Siku nyingine hatarudia huo ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazo wapi...aliishia kula breakpoint na Rose garden alipokuwa analishwa maneno ya kuchafua hali ya hewa!
Makonda anapapaswa tu siku hiziHIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.
Alipe tu maana huyu Mjita mwenzangu kuna kipindi ulimi na ubongo wake vilikuwa vinatoa HARUFU MBAYA SANAAAAA.Mahakama imetoa siku 14 tu Musiba awe amemlipa mzee Membe.
Ikumbuwe mzee Membe alishinda kesi na mahakama ikamuamuru Musiba kumlipa.
Sasa naona ndiyo kumekucha na naiona hata ile hukumu ya Fatuma Karume nayo itaibuka muda siyo mrefu.View attachment 2589355
Walinda legacy wenzangu tafadhali tumchangie mwenzetu, Maan maandiko yanasema... Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe yote yataondolewa!! Kwa mantiki hiyo tutembeze bakuli bagosha!!Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.
View attachment 2588944
Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Umeona Kama Nilivyoona Au Wanataka Kufunika Habari Nyeti ZilizopoKiki tu za kisiasa, wanatafuta namna ya kurudi uwanjani.
Halipwi mtu hapo
Kuna wakati aliwekwa kinyumba na zee moja basha la kizungu kule Masaki.Musiba ni fundisho kwa vijana wenye viburi na madaraka. Kiburi kilimfanya aone anao uwezo wa kutukana kila mtu. Leo ana stress hadi kushikilia kamba ya kujinyonge.
Alileweshwa na malezi ya jiweAlipe tu maana huyu Mjita mwenzangu kuna kipindi ulimi na ubongo wake vilikuwa vinatoa HARUFU MBAYA SANAAAAA.
Watazipata wapi 9 billion?Sukuma Gang kamsaidieni punga mwenzenu kulipa faini huko
Sasa mnapingana na mahakama?Umeona Kama Nilivyoona Au Wanataka Kufunika Habari Nyeti Zilizopo
Nani sasa anafuta kiki?Kiki tu za kisiasa, wanatafuta namna ya kurudi uwanjani.
Halipwi mtu hapo
Alipe tu maana huyu Mjita mwenzangu kuna kipindi ulimi na ubongo wake vilikuwa vinatoa HARUFU MBAYA SANAAAAA.Mahakama imetoa siku 14 tu Musiba awe amemlipa mzee Membe.
Ikumbuwe mzee Membe alishinda kesi na mahakama ikamuamuru Musiba kumlipa.
Sasa naona ndiyo kumekucha na naiona hata ile hukumu ya Fatuma Karume nayo itaibuka muda siyo mrefu.View attachment 2589355
Acha aule wa chuya kutokana na uvivu wake wa kuchambua. Akumbuke kuula na ndugu zake.Alileweshwa na malezi ya jiwe
Membe kanyagia hapo hapo huyo papai afilisiwe hadi kijiko cha mezaniMahakama imetoa siku 14 tu Musiba awe amemlipa mzee Membe.
Ikumbuwe mzee Membe alishinda kesi na mahakama ikamuamuru Musiba kumlipa.
Sasa naona ndiyo kumekucha na naiona hata ile hukumu ya Fatuma Karume nayo itaibuka muda siyo mrefu.View attachment 2589355