econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Tatizo anadeal na makachero, watakuwa wanajua Mali zake zote.Asipokua nayo watamfanya nini? Unakuta hata mali zake chache ziko kwa jina la mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo anadeal na makachero, watakuwa wanajua Mali zake zote.Asipokua nayo watamfanya nini? Unakuta hata mali zake chache ziko kwa jina la mkewe
Kama ni kweli, basi kuna dosari kubwa kwa hawa majaji wetu na sheria zetu. Watu wote ni sawa. Hivyo ndivyo tunavyoamini. Na katiba yetu ya nchi inasema hivyo. Vitabu vitakatifu vinasema hivyo. Hivyo thamani ya Membe na thamani yangu na wewe iko sawa. Hivi ni kweli kwamba mimi na wewe tukichafuliwa kama alivyochafuliwa Membe, tutalipwa hizo Tsh billioni 9 kila mmoja kweli?
Hakika
hoja yangu ni kuwa mahakama isitumike kama silaha. Hukumu ilishatolewa ameamriwa kulipa. Hajalipa, Je kuna muda maalum aliyopewa katika hukumu ya awali ya amri hii kutokea?
Kama alipewa muda, sina la nyongeza, ila kama hakupewa muda maalum, naona sasa imefikia pahali Membe anataka kumkomoa.Kwani sioni membe akiwa ana njaa ya hiyo pesa kiasi cha kupeleka/kuomba mahakama kutoa siku kumi na nne ilipwe.
keep in mind, mie sio mwanasheria. ila naona Cyprian anauwezo wa kupinga au kukatia rufaa amri hii
Dunia inaenda kas sana, sasa hakuna namna akamuangukie membe tu na kulia kwa kwikwi huenda membe huruma ikamjia
Na mie nimesema huko juu...wapo wengi kama Musiba hapa jamvini na hata ndani ya uzi huu. Kitaeleweka .
Hilo la Musiba kuto enjoy ndio haswa kisasi kilichopita kipimo....ni hisia kali tu dhidi ya binadamu mwenzako.....its a Saddist view.
Suuuubutu....I mean Thubutu. Tume ya haki jinai ipitie hukumu hii.
Mie naomba atokee Mwanasheria ambaye ataweza kuja Kumwakilisha Mama Janeth Magufuli.
Halafu tuje tuone jeuri ya bando.
Katika hiyo team, kuna waliokuwa wanachukia mitusi yake..!! Ni kama alikuwa anamharibia JPM. Walikosa namna ya kufanya kumtuliza.
Kwa hiyo unadai hakuna watu waliomshambulia na kumchafua Janeth Magufuli hapa kwa sababu ya Mme wake?
Unacho kifahamu ni nini? Kwani huyo Membe alijiwakilisha mwenyewe Mahakamani?
Kusema Mama Janeth naye aje kupata uwakilishi nayo kwa mujibu wa Sheria zetu sio sahihi?
Umenisoma vizuri au na wewe umekurupuka tu?
Matatizo ya kumtegemea mwanadamu badala ya Mungu ndio madhara yake hayaHi Dunia usipokuwa na akiba ya maneno utahangaika Sana.
Kumbe walifikia huku
Mali zake zinakamatwa kufidia deniAsipolipa itakuwaje??
Na wachangishaji nao wakampiga kidogo kilichopatikanaKumbe walifikia huku
Waliokuwa wanamchafua Magufuli nani kawashtaki??Tunaomba haki itendeke kwa waliomchafua Magufuli pia nae alipwe fidia alitukanwa sana mitandaoni
AiseeNa wachangishaji nao wakampiga kidogo kilichopatikana
Jipe faraja.Lazima ujue huwezi kufungua kesi ya madai kwa member humu Jamii forum labda awe verified user. Unatakiwa kufungua kesi ya madai kwa Jamii forum in general kitu ambacho ni kigumu. Maana Jamii Forum yeye ni social media platform sio mtoa maoni au makala.