Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna ukweli wowote ni wapi ulimuona Membe anapanga ugaidi?Tuondoe siasa, hivi kweli aliyosema Musiba kuhusu Membe hakuna hata chembe ya ukweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ukweli wowote ni wapi ulimuona Membe anapanga ugaidi?Tuondoe siasa, hivi kweli aliyosema Musiba kuhusu Membe hakuna hata chembe ya ukweli?
Akikosa kulipa afungwe maisha tuAuze mitusi na midharau yake atapata pesa za kulipa.
Musiba na hao wenzake watatu sidhani kama wana huo uwezo wa kifedha kulipa kiasi cha TZS 9Bn kwa muda wa siku 14 kupitia agizo la mahakama. Pengine wanasheria wanaweza kutupa majibu yafuatayo,Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.
View attachment 2588944
Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Alimwambia zzk kuwa atajikuta midomo yake imepakwa shedoTulimkanya sana aache kutumia media zake kuwachafua viongozi hakusikia. Aliona mwamba ataishi milele. Alitutukana sana na kutishia tutajikuta tuna makalio makubwa. Kiko wapi sasa?
Musiba alikuwa anakufuruMusiba na hao wenzake watatu sidhani kama wana huo uwezo wa kifedha kulipa kiasi cha TZS 9Bn kwa muda wa siku 14 kupitia agizo la mahakama. Pengine wanasheria wanaweza kutupa majibu yafuatayo,
1. Je! Sheria inasemaje kuhusu uwezo, yaani "capacity" ya mshtakiwa?
2. Je! Sheria inasemaje kuhusu kukamatwa kwa mali nyingine za mshtakiwa?
3. Inakuwa vipi endapo mali zote za mshtakiwa hazina pia thamani ya kuweza kufidia deni?
4. Kuna uwezekano wa kutoa hukumu ya kumfunga mshtakiwa kutokana na kushindwa kulipa fidia, yaani " committing him as civil prisoner"?
5. Je! Endapo akimaliza kifungo hicho (kama kipo) fidia hiyo kisheria itahesabika tena?
6. Vipi endapo itatokea mshtakiwa kafa,
Je! Madai hayo yatakoma ama bado yataorodheshwa na kutambulika kwa msimamizi wa mirathi ili warithi wa mshtakiwa wapate kuwajibika kupitia mali za marehemu?
Duh! Ama kwa hakika uchawa una gharama kubwa sana endapo ukipitiliza na kuathiri watu wengine
This 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya maisha! Sponsor anakutia mimba halafu anakufa...
Hili mihimu, Hakika life comes at you fastWahakikishe hajiui
Anazo? Au ofisi yake ndio inafika 9b?
Kama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.Musiba, Makonda, Sabaya, Polepole, Bashiru Ally.
Hawa watu watano ndiyo waliohuzunishwa na kifo cha Magufuli kuliko hata wanafamilia.
Dah kweli maisha ni story ndefu...
Huyu mwamba Nikiangalia clip za enzi zile nacheka sana
Wale walikuwa kwenye lile kundi la vijana wazalendo wa tz. Waliongozwa na msigwa hawa ndo waliwaua kina Ben sanane walikuwa pale sayansiMembe kaenda kukazia hukumu bado shangazi..
Je wale jamaa wa changia Musiba waliishia wapi?
Walipata bei gani? Zilienda wapi?
WalipeKama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.
Kwa hali ya kawaida, huzuni ya jirani haiwezi kuizidi huzuni ya wanafamilia.
Kwangu majitu kama haya yangefungwaAlikuwa hadi anaruka sarakasi ofisini kwake kwa mbwembwe [emoji1787][emoji1787], jiwe amemponza.
Hiyo inaitwa crocodile tearsKama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.
Kwa hali ya kawaida, huzuni ya jirani haiwezi kuizidi huzuni ya wanafamilia.
Wachana na hilo sukuma gangWewe ndiye unapaswa kujua.
Anajuta Sana, na anatamani siku zirudi nyuma ajirekebishe.
Sasa hivi wameanza kujua kuwa wa kumtegemea ni Mungu wala siyo mwanadamuMusiba, Makonda, Sabaya, Polepole, Bashiru Ally.
Hawa watu watano ndiyo waliohuzunishwa na kifo cha Magufuli kuliko hata wanafamilia.
Wana akili mbovu kama za kuku maana hawachelewi kusahauBahati mbaya sana wanadamu sio wazuri kujifunza kutokana na historia, akija jiwe mwingine watarudi tena wakina Musiba, Bashite na Sabaya kama wale wa zamani au na zaidi kabisa.
Case ya madai hiyoMusiba na hao wenzake watatu sidhani kama wana huo uwezo wa kifedha kulipa kiasi cha TZS 9Bn kwa muda wa siku 14 kupitia agizo la mahakama. Pengine wanasheria wanaweza kutupa majibu yafuatayo,