Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Haaaa na hcho kitangazo cha changia musiba mpelekeen na marehemu pengine ajui anaweza toa chochote kitu hapo kuokoa jahazi nb musiba tunaomba pesa zetu akuna musamaha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utavuna mabuaUkipanda mabua utavuna.....
Hawa watu walitutesa sana sasa ni kipindi chao kulipaJapo hana msambwanda kama Bashite watu watapita naye kwa ghadhab tu kumkomesha.
Lazima alipeHaaaa na hcho kitangazo cha changia musiba mpelekeen na marehemu pengine ajui anaweza toa chochote kitu hapo kuokoa jahazi nb musiba tunaomba pesa zetu akuna musamaha hapa
9,000,000,000/(14×24×60×60)=7,440.7462...Jamaa inabidi azalishe kiasi hicho kama sijakoseaB 9 in 14 days
Nisaidieni hesabu mwamba anatakiwa aingize sh ngapi kwa kila sekunde inayogonga?
BanyamulengeHili neno "Sukuma gang" limekaa kibaguzi sana. Hakuna neno jingine kwani?.
Wafuasi wa Magufuli ni watu wenye roho mbaya hawataki kumsaidia mwenzaoShida Musiba ana damu ya kunguni mbona akina Mbowe na wenzake walipata milioni Mia tatu ndani ya siku mbili?.
Friends of MusibaHili neno "Sukuma gang" limekaa kibaguzi sana. Hakuna neno jingine kwani?.
Alijazilizia Shujaa MagufuliShida Musiba ana damu ya kunguni mbona akina Mbowe na wenzake walipata milioni Mia tatu ndani ya siku mbili?.
Sawa ni Jambo jema SANA.Inasemekana Friends of Musiba wameandaa Harambee ya kumsaidia Cyprian Musiba kumlipa Membe fidia anayomdai
Na wameandaliwa Watu Watatu watakaoenda kumuomba mh Membe aweze kusamehe na kuachilia
Wazee hao Watatu Watamuomba mh Membe akubali kile kiasi kitakachopatika na kusamehe salio na Mungu wa mbinguni atambariki
Dominica Njema, Uchaguzi u karibu!
🤩🤩🤩 Subiri uone!Wafuasi wa Magufuli ni watu wenye roho mbaya hawataki kumsaidia mwenzao
Hii habari ni ya uongo hakuna group inayoitwa sukuma gang. Hii ni nadhalia ambayo tulishaonya sana neno hili lipigwe marufuku otherwise watu watakuja wauane kwa ajili ya haya mambo. Na kama mnadhani ni utani endeleeni. Maana mwenye kuunga mkono uzalendo wa Dkt Magufuli wapo mpaka TISS na kila sehemu nyeti ina maana hilo kundi linaweza ua hata kiongozi mwenyekiti kisa tu linaona falsafa ya Dkt Magufuli inadhihakiwa. Kikubwa mambo ya Rwanda na Burudi Tanzania yanaweza tokea kabisa. Haya majina ya mara msoga gang, mara sijui nini ni mabaya na tulisha tahadharisha Maxence Melo ayapige marufuku ila sijui kwa nini mnaachia vitu ka hivi viendlee ku trend. Fikiria tu waliokuwa walinzi wa rais Dkt Magufuli unadhani watafurahi Dkt Magufuli kudhihakiwa?Haya ni madhara ya kumtegemea mwanadamu.
Ni sawa tu na konde gangHili neno "Sukuma gang" limekaa kibaguzi sana. Hakuna neno jingine kwani?.
Hakuna atakayechangia
Nimeletewa kadi ya mchango na mzee Mgaya na nimeshakamilisha muamala!Sawa ni Jambo jema SANA.
Pole kwako maana inakuuma SANA
Sema wewe ndio hutachangaHakuna atakayechangia
Fake hilo tangazo limetengenezwa na timu ya Membe