Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

mahakama haitawekea mkazo hayo madai as

wanajua fika hawezilipa

Mahakama imeshakubali ombi la kukazia hukumu. Na asipolipa ndani ya siku kumi na nne mahakama ndio inachukua jukumu la kushikilia Mali zote.
 
Kuna somebody Mshana alifariki atakatangazwa redioni.. Mgonjwa wangu akasikia ile taarifa kunipigia akanikosa hewani.. Alikodi boda toka Kisiju mpaka Msata Kilingeni..[emoji23]
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.

View attachment 2588944

Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Amlipe. Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga.
 
Kwani pale Mutukula kwenye hii njia kama ya kwenda Izimbya hapapenyeki kuingia Uganda ?

Vipi Tunduma kwa kupitia hii njia ya kwa Mpemba nyuma ya stendi hapatupeleki Zambia?

Vipi Silari vijana wavushaji hawapo tena ili tufike Kenya ?

Ngoja kwanza kwani Kasumbalesa nyuma ya Kingdon bar hatuwezi kupita huko kufika Congo ?

Hapana Kirando tukifika kwa mtumbwi Congo ile pale no Visa no what

Kigoma pale hivi njia za nyuma huku Burundi hakuingiliki tena ?

Ngoja kwanza kwani Karagwe huko ndani kule Nkwenda zile njia za kuingia Rwanda zimejulikana tayari ?

Kwani vipi wazee wa fleeboat hapa uwanja wa Mwalimu Julius hawapo tena ? Hapana wapo mbona nasikia ni hela yako Vitengo wanakufikisha nje ya mipaka ?

Yaani haya yote nayawaza kabla ya siku 14 za Msiba mbona ni njia rahisi yeye kutokomea .

Labda ana hela ngoja niendelee kuhesabu siku alizopewa .
 
Kwa jinsi hii Mungu aliipenda Tanzania [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
 
D_plozEX4AIqJWZ.jpg
 
Huyu takataka hata kwenye kumbukizi ya swahiba wake hakusikia. Hakika huna pesa Hakuna Upendo
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.

View attachment 2588944

Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.

View attachment 2588944

Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Musiba, nimekuambia usinipigie simu nipo njiani kuna makelele, nikifika nitakutumia tu.
 
Huyo mzee anapenda pesa aisee.

Kuna pesa alizipiga sijaamini kama ni yeye.
 
Ni matatizo yake ya kujitakia Musiba kutotafuta mwanasheria wa kujitetea na kudharau mahakama, ata kama imetumika vibaya.

Ukisikiliza maelezo ya decision kwenye kesi ya defamation aliyofungua Nehemia kuna justification ya award alizopewa on loss of business, other income na kupeteza trustworthiness kama mfanyabiashara vitu alivyoelezea mahakamani. Sasa kama kweli alikuwa na huo ushahidi wa MoU wa hasara alizodai kupoteza ni swala lingine. Ila decision ina justification kwa kesi aliyofungua.

Mahakama aiwezi jiropokea tu umlipe mtu kiasi gani cha fidia, inatakiwa kuwe na ushahidi wa loss of income za kibiashara au kwa ma celebrities ni damage ya brand zao ambazo ndio msingi wa kupata kazi na hela.

Sasa ata kama kweli Musiba alimchafua Membe kuna justification gani ya kumlipa damages za tsh 9 billion, hizo hasara Membe alizopata ni zipi zenye kufikia hiyo thamani au Membe ni brand yenye thamani ipi kama superstar.

Ni decision ya uonevu kwa Musiba, ila ujinga zaidi ni yeye kudharau mahakama toka anaitwa na kukaa kimya ata decision ilipotolewa; huko sasa ndio kujitakia.
 
Back
Top Bottom