Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Musiba na hao wenzake watatu sidhani kama wana huo uwezo wa kifedha kulipa kiasi cha TZS 9Bn kwa muda wa siku 14 kupitia agizo la mahakama. Pengine wanasheria wanaweza kutupa majibu yafuatayo,
1. Je! Sheria inasemaje kuhusu uwezo, yaani "capacity" ya mshtakiwa?
2. Je! Sheria inasemaje kuhusu kukamatwa kwa mali nyingine za mshtakiwa?
3. Inakuwa vipi endapo mali zote za mshtakiwa hazina pia thamani ya kuweza kufidia deni?
4. Kuna uwezekano wa kutoa hukumu ya kumfunga mshtakiwa kutokana na kushindwa kulipa fidia, yaani " committing him as civil prisoner"?
5. Je! Endapo akimaliza kifungo hicho (kama kipo) fidia hiyo kisheria itahesabika tena?
6. Vipi endapo itatokea mshtakiwa kafa,
Je! Madai hayo yatakoma ama bado yataorodheshwa na kutambulika kwa msimamizi wa mirathi ili warithi wa mshtakiwa wapate kuwajibika kupitia mali za marehemu?

Duh! Ama kwa hakika uchawa una gharama kubwa sana endapo ukipitiliza na kuathiri watu wengine
 
Tulimkanya sana aache kutumia media zake kuwachafua viongozi hakusikia. Aliona mwamba ataishi milele. Alitutukana sana na kutishia tutajikuta tuna makalio makubwa. Kiko wapi sasa?
Alimwambia zzk kuwa atajikuta midomo yake imepakwa shedo
 
Musiba alikuwa anakufuru
 
Musiba, Makonda, Sabaya, Polepole, Bashiru Ally.

Hawa watu watano ndiyo waliohuzunishwa na kifo cha Magufuli kuliko hata wanafamilia.
 
Musiba, Makonda, Sabaya, Polepole, Bashiru Ally.

Hawa watu watano ndiyo waliohuzunishwa na kifo cha Magufuli kuliko hata wanafamilia.
Kama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.

Kwa hali ya kawaida, huzuni ya jirani haiwezi kuizidi huzuni ya wanafamilia.
 
Membe kaenda kukazia hukumu bado shangazi..

Je wale jamaa wa changia Musiba waliishia wapi?

Walipata bei gani? Zilienda wapi?
Wale walikuwa kwenye lile kundi la vijana wazalendo wa tz. Waliongozwa na msigwa hawa ndo waliwaua kina Ben sanane walikuwa pale sayansi
 
Kama ni hivyo, ujue kuwa hawakuhuzunika kwa sababu ya kifo cha marehemu bali walihuzunishwa na kukoma kwa maisha yao waliyokuwa wamezoea.

Kwa hali ya kawaida, huzuni ya jirani haiwezi kuizidi huzuni ya wanafamilia.
Walipe
 
Hiyo inaitwa crocodile tears
 
Musiba, Makonda, Sabaya, Polepole, Bashiru Ally.

Hawa watu watano ndiyo waliohuzunishwa na kifo cha Magufuli kuliko hata wanafamilia.
Sasa hivi wameanza kujua kuwa wa kumtegemea ni Mungu wala siyo mwanadamu
 
Case ya madai hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…