Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
Mtu hatoishi kwa ajira tu...
 
Duh!
Naona Sasa Musiba Kawa kama Mcharo!
Anafanya Kazi ya Waziri wa Mambo ya Ndani!
Nimemkumbuka Mwalimu wangu wa S/M alikuwa anasema tusiishi kama Fimilia za Kambale Mama Ndevu, Mtoto Ndevu Na Baba Ndevu
 
Back
Top Bottom