D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'


Simulizi inasema, hela alizotupewa walizipiga picha iliwaweze kuzifatilia, na wamejaribu kuzifatilia hazijapatikana. Hata kama kila mmoja alichukua dollar elfu 40, alizipeleka wapi?
 
Km hawa Vinara wa masuala ya usalama na upelelezi walisalimu amri,ujue kwamba jamaa alianza kufikiri kama wao kabla ya tukio,Halafu akafikiri kama yy ili KUKAMILISHA TUKIO ktk njia ambayo hata wana usalama wakifikia kubaini basi yeye awe kishabaini plan B AU C nyingine iliyo bora ZAIDI....
 
Mimi nadhani kuwa hakuruka na parachute pale ila alijaribu kuwadanganya FBI kuwa karuka ila akajificha kwenye hiyo ndege
Suala la pesa nadhani alienda kuziweka ili kuzidi kuwachanganya FBI na kuwaaminisha kuwa aliruka na parachute
Kama ni kweli nikiyosema hapo juu
SWALI KUBWA linakuwa ilikuwaje akashuka kwenye ndege pale uwanjani bila mtu kumuona au alijificha sehemu gani kwenye ndege ambayo ilimfanya asionekane maana naamini waliikagua ile ndege baada ya kutua
 
Swadakta! Sahihi kabisa mkuu.. Kwa maoni yangu nimebaini kuwa wahalifu wengi waliofanikiwa kwa kiwango cha juu; kwanza waliplan kwa muda mrefu na walijaribu kufikiri kwa namna ambayo watakaokuja kuwatafuta watakuwa wanafikiri kisha wakaongzea akili na mbinu zao.. Walikuwa wanafikiri miaka miwili au mitano mbele na waliweka mikakati mbadala A, B, C!!

Mtu mwenye uwezo wa kung'amua kitu utakacho waza kabla wewe mwenyewe haujakiwaza au kujua mbinu utakayotumia kabla mwenyewe haujaipanga ni ngumu mno kumkamata kwani mara zote atakuwa mbele kimawazo na kimkakati! Wewe ukifikia kuwaza 2 mwenzko amekwisha waza 3 na 4! Naamini D.B Cooper alikuwa ni mtu wa kaliba hii.
 
kwa mtazamo wangu huu mchezo ni sawa na ule wa wizi wa almasi kule ubelgiji..........
concl yangu kwa hii case ni kwamba wahusika waku ni wafanyakazi wa huko huko fbi kwa sababu hakuna uwezekano wa kupanga tukio 100% likafanikiwa.....osama aliishi ouside usa lkn akapatikana iweje wamkose cooper aliyeko ndan ya usa....
alafu napata doubt kwanin huyu mwnye kituo cha skydiving aliuliwa na hao hao fbi
 
The bold unasimulia utadhani ulikuwepo.

Yaani km Mkandala Lufufu kwny kutafsiri movies. Chukua mikoba yake jamaa una kipaji.

Niko nawaza km kweli huyu 'kiumbe' D. B. Cooper alikuwa na uwezo na akili gani?

Bora FBI wangetangaza kumsamehe ajitokeze wamuajiri kabsa ili awape mbinu zake. Nawaza tu [emoji23][emoji23]
 
nimependa matumizi fasaha ya kiswahili na bado inakuwa na mvuto,hongera The Bold.
kama nimeelewa vizuri,kesi ya cooper imefungwa rasmi baada ya fbi kukosa dokezo lolote zaidi ya zile noti za dogo Igram. sasa mbona wengine tunaulizia muendelezo? au mie sijakuelewa the bold.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…