D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Hahahah! Nashukuru kwa pongezi mkuu..
 
Funguka zaidi mkuu!
Tutakua tunafundisha ugaidi sasa humu ndani mkuu kinyume na taratibu sababu ishu kama za Mapunduzi,utekaji wa ndege,mauaji n.k vinafundishwaga ila kwa manufaa ya nchi tu ukitumia kwa matakwa yako binafsi au watu fulani au kwa itikadi zingine ndio inakua illegal.

Sio kama najua hayo mambo hapana ila napenda sana kucheki movie.
 
Nimekuelewa sana mkuu! Lakini unaweza kushare walau kwa uchache tu pasipo kuingia kwa undani sana.. Nadhani itakuwa safe
 
Emmadogo umeniwahi, hii issue FBI wanahusika na Jenna huyo Cooper ni mmoja wao. Na inawezekana hata hizo pesa wanazodai zilipotea wanadanganya, zilishatumika kitambo.

Asante sana The bold kwa Makala hii nzuri.
YEAH HII KITU WALIIPIGA WAO SO ILIKUWA RAHISI KWA WAO KUIZIMA KINAMNA BILA WENGINE KUJUA....BUT THAT PARACHUTE GUY KNEW SOMETHING SO THEY HAD TO TAKE HIM OUT. SO THAT D COOPER WAS NEVER THERE , HE WAS AN IMAGINARY GUY TO MAKE THE STORY LOOK REAL.....SO PALE KWENYE KUJAZA MAFUTA KILA KITU KILIMALIZIKA PALE.
 
Mbona humalizii story nzuri
 
Rudia kuisoma huenda utaelewa.
 
FBI wameshindwa kumpata Cooper kwa miaka takribani 40 na kitu, sisi wabongo tutawezaje? Tutabaki kuhisi tu labda hivi au labda vile ila jamaa ndio ashatengeneza historia kwa miaka mingi ijayo jina lake litaishi.

Kesi imefungwa rasmi, mkuu The bold tafuta mkasa mwingine wa kusisimua pia usisahau kunitag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…