Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji16] [emoji16] [emoji16] hivi njie wapuuzi lini mtaelewa, una quote uzi mzima kwa haya maneno mawili[emoji53] [emoji53] [emoji53] una akilj za namna gani???
duh we jamaa! Hivi hujiulizi kabisa unapo-quote thread nzima ni kitu gani kinawapata wasomaji wengine?
duh we jamaa! Hivi hujiulizi kabisa unapo-quote thread nzima ni kitu gani kinawapata wasomaji wengine?
ha ha ha ha[emoji16] [emoji16] [emoji16] hivi njie wapuuzi lini mtaelewa, una quote uzi mzima kwa haya maneno mawili[emoji53] [emoji53] [emoji53] una akilj za namna gani???
Zile namba za hela mpaka leo zipo mtandaoni so fbi walizirelease jamaa walijua wakizitumia wamekamatwa so ikawa hasara kwao tuInawezekana,lkn miaka yote hy hizo hela hawakuzitumia?maana walichukua namba za hela ili ku track,BTW napenda watu km D.B.Copper... Thanks@The Bold Mungu akubariki,utuwekee vitu zaidi
D.B Cooper huenda yuko chimbo anatafuta namna ya kuzitumia hizo pesa bila kukamatwa.Zile namba za hela mpaka leo zipo mtandaoni so fbi walizirelease jamaa walijua wakizitumia wamekamatwa so ikawa hasara kwao tu
Atakua alishakufa mkuuD.B Cooper huenda yuko chimbo anatafuta namna ya kuzitumia hizo pesa bila kukamatwa.
No any proof mkuu, kumbuka huyo jamaa ni genius anawaza kuanzia pale uwezo wa FBI unapoishia, huenda ni mtu yuko huko FBI. Kumbuka alikua anawaza kila jambo ambalo FBI wangelichunguza na kutumia kama njia ya kumkamata.Atakua alishakufa mkuu
Hapo nimeassume alipoiteka ndege alikua na miaka 30-40 1971 sasa hivi 2016 atakua kikongwe sana au marehem kabisaNo any proof mkuu, kumbuka huyo jamaa ni genius anawaza kuanzia pale uwezo wa FBI unapoishia, huenda ni mtu yuko huko FBI. Kumbuka alikua anawaza kila jambo ambalo FBI wangelichunguza na kutumia kama njia ya kumkamata.
Nyongeza mpya inaanzia #7[/QUOT
Saa ngap maana kila muda nachungulia,ukianza naomba basi unitag aiseee
Sioni u genius wake uko wapi kwa kweli.kumbuka huyo jamaa ni genius anawaza kuanzia pale uwezo wa FBI unapoishia, huenda ni mtu yuko huko FBI. Kumbuka alikua anawaza kila jambo ambalo FBI wangelichunguza na kutumia kama njia ya kumkamata.
[emoji1]siku nyingine usiquote kabisa maelezo marefu namna hii. Unatuumiza sana tunaotumia simu za button.
Mm ndio maana nasema jamaa hakuruka na ndege mara ya pili...Sioni u genius wake uko wapi kwa kweli.
Katika ma parachute aliyopewa alichagua parachute moja zima moja ni toy la kujifunzia, akaacha mazima mawili, kwa hiyo alikuwa hana reserve parachute. Hapo kuna u-genius gani?
Wataalam wanajiuliza utajaribuje ku sky dive bila reserve parachute kwenye upepo wa 200mph blasting in your face, mvua kali, kiza kinene, umevaa suti na viatu vya ngozi vya kishua, windchill ama baridi inayokolezwa na upepo siku ile ilikuwa minus 69F, umefunga bank bag mgongoni... ?
Kwa nini achukue chances kama hizo mtu genius?
nakuelewa, which means ilikuwa ni mchoro wa watu wote wale waliobaki kwenye ndege (ma pilot, engineer, flight attendant) na Cooper aliyeshuka airport Washington Takoma.Mm ndio maana nasema jamaa hakuruka na ndege mara ya pili...
Alishuka na mateka baada ya kupewa mshiko wake.....then marubani ndio wakamaliza mchezo wote......tena hata ile choice ya kujifanya alitumia parachute za kujifunzia. Waliifanya maksudi ili fbi wajue jamaa lazima atakua amekufa