D Voice apewa cheni na pete za million 150

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066


Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150.

Mbali na hayo pia amepewa nyumba nzuri ya kuishi Mbezi Beach ni mara tu alipoangusha wino mwanzo mwa huu mwaka 2023.
 
Ninaipongeza menejimenti ya WCB kwa kuibua vipaji na kufanya uwekezaji mkubwa kwa vijana hawa.

Nadhani pia WCB wanapaswa kukutana na wanasheria wa masuala ya mikataba na hakimiliki waweze kufanya maboresho ya mikataba yao ili kuondoa malalamiko yanayojitokeza kwa wasanii wanaowasaidia
 
Wizi mtupu. Hiyo hela ni bora angemnunulia kiwanja na kumjengea nyumba nzuri, badala ya hayo matakataka.

Au isije ikawa hayo macheni ndiyo vitambulisho vyao kwenye ulimwengu wa giza!! Maana naona na Mbosso naye hapo pembeni ameyajaza ya kutosha tu shingoni, kama ilivyo kwa bosi wao.
 
Hiyo ni biashara kama ya duka au kilimo au nyingine yoyote huwezi kurekebisha mkataba sababu business partner kalalamika unarekebisha kama mkataba una kasoro. By the way mkataba upo sawa ndio maana wanaotoka hawaendi mahakaman na wanalipa fidia ya kuvunja mkataba tena pesa nyingi.
Nikikwambia budget ya d voice mpaka sasa unaweza shangaa kwa nini investor asiweke kwenye real estate tu ni mamilion mamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…