Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150.
Hirizi za kisasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya vitu vya thamani alivyopewa na CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ni cheni na pete vyenye thamani ya million 150.
Micheni nyumba ya kupanga,.Yupo mikono salama maokoto sio shida zake sasa
Hii imeenda kwa faida ya baadaye.Huyo ni Chawa wa Usafini. Anapewa cheni ya 150M na kupangishiwa nyumba? Hiyo 150M si bora wamjengee nyumba? Cheni itamsaidia nini na umri wake bado mdogo? Chai hii.
Hawa wasanii kizaz hiki wanapenda ongeza sifuriAnapewa chain ya 150m halafu anaenda kupanga nyumba ya mil 120 analipa kodi.
Hawa wasanii kizaz hiki wanapenda ongeza sifuri
Ova
Ulikuwa shabiki mkubwa wa ali kiba baadae harmonize....uliwapenda hao jamaa au kwa kuwa walionesha upunzan kwa diamond na team yake?The dark industries
Football
Music
Movie
It's dangerous.
Haijalishi wote ni mkumbo mmoja hapa ushabiki nimeweka pembeni.Ulikuwa shabiki mkubwa wa ali kiba baadae harmonize....uliwapenda hao jamaa au kwa kuwa walionesha upunzan kwa diamond na team yake?
Hii ni baada ya ulichotaman kitokee kwa diamond kushindikanaHaijalishi wote ni mkumbo mmoja hapa ushabiki nimeweka pembeni.
Na watoto sahv wakisikia stori hiziWanatuzingua sana ,hiyo 150m(kama kweli) si bora angenunua nyumba ya 145m halafu 2m akanunua "Machuma" akavaa shingoni na mikononi...3m akafanyia mambo mengine.
Mfano wewe huwa unalipwa nini kwa hii kazi?Pambana pambana sana
Hii ni kampeni kuipumbaza jamii iamini wadogo zetu wanapiga pesa kumbe bureYupo mikono salama maokoto sio shida zake sasa
Sijui Kwa Nini mmependa ulivojibuKwanza kabisa nitake radhi kusema nimezaliwa kwenye uchawi...
Wewe umezaliwa kwenye familia ya kishetani huoni una tatizo?
Leo WEMA, Hamisa, kesho Zari, keshokutwa Tanasha, Mtondo Zuchu alafu unasema wewe binadamu?
Alafu umeachana na huyu ukaona kapata mume wivu unaanza ukaribu!
Skiza, toa kwanza ujinga kichwani mwako...
Tunajenga taifa la namna Gani?
Tumeaminisha watu kuwa mziki na siasa bila hayo hakuna kuishi...
Apewa cheni na Pete za million 150?
Pete na cheni? Za Nini?
Alafu trust me hunisogelei Kwa CHOCHOTE Iwe pesa, umaarufu ama CHOCHOTE Kwa hivyo huyu anayekujibu hapa ameshuhudia makubwa zaidi Yako, ameyaona mengi.
Wadanandaaa!!!haoKwa sababu wewe unakaa vijiwe vya kahawa hata kama hutumi kahawa sio Kila mtu Yuko hivyo.
Ninyi ndio wale mnasapoti vitu hamjui hata vinashikiliwa na nguvu Gani...
Umezaliwa Sinza umekuta Kila kitu unaishi Kwa mishen town Sasa unahisi Kila kitu kimekaa kimishen town...
Acha kushakibikia vitu kama huvijui vizuri. Unaweza ukajiingiza kuangamiza kizazi chako kirahisi bila KUJUA...