D Voice apewa cheni na pete za million 150

D Voice apewa cheni na pete za million 150

Huyo ni Chawa wa Usafini. Anapewa cheni ya 150M na kupangishiwa nyumba? Hiyo 150M si bora wamjengee nyumba? Cheni itamsaidia nini na umri wake bado mdogo? Chai hii.
Hii imeenda kwa faida ya baadaye.
JamiiForums1709643988.jpg
 
Anapewa chain ya 150m halafu anaenda kupanga nyumba ya mil 120 analipa kodi.
 
The dark industries
Football
Music
Movie

It's dangerous.
 
Hawa wasanii kizaz hiki wanapenda ongeza sifuri

Ova

Wanatuzingua sana ,hiyo 150m(kama kweli) si bora angenunua nyumba ya 145m halafu 2m akanunua "Machuma" akavaa shingoni na mikononi...3m akafanyia mambo mengine.
 
The dark industries
Football
Music
Movie

It's dangerous.
Ulikuwa shabiki mkubwa wa ali kiba baadae harmonize....uliwapenda hao jamaa au kwa kuwa walionesha upunzan kwa diamond na team yake?
 
Wanatuzingua sana ,hiyo 150m(kama kweli) si bora angenunua nyumba ya 145m halafu 2m akanunua "Machuma" akavaa shingoni na mikononi...3m akafanyia mambo mengine.
Na watoto sahv wakisikia stori hizi
Hata shule hawataki wote wanataka kuwa wasanii
Hii nchi inaelekea kuwa kama kongo
Wakata mauno wengi watajaaa

Ova
 
Bure kabisa...
Wacha vijana mabishoo wanaowababakia hawa jamaa wawe mashoga...
HOVYO...
 
Wewe msssssenge innocent dependent unapenda kuongea uongo kisa tu dayamondi anakutatua marinda. Wewe matterco lokole tunakujua vizuri shoga wewe mpigwa miti
 
Kwanza kabisa nitake radhi kusema nimezaliwa kwenye uchawi...

Wewe umezaliwa kwenye familia ya kishetani huoni una tatizo?

Leo WEMA, Hamisa, kesho Zari, keshokutwa Tanasha, Mtondo Zuchu alafu unasema wewe binadamu?

Alafu umeachana na huyu ukaona kapata mume wivu unaanza ukaribu!

Skiza, toa kwanza ujinga kichwani mwako...

Tunajenga taifa la namna Gani?
Tumeaminisha watu kuwa mziki na siasa bila hayo hakuna kuishi...

Apewa cheni na Pete za million 150?
Pete na cheni? Za Nini?

Alafu trust me hunisogelei Kwa CHOCHOTE Iwe pesa, umaarufu ama CHOCHOTE Kwa hivyo huyu anayekujibu hapa ameshuhudia makubwa zaidi Yako, ameyaona mengi.
Sijui Kwa Nini mmependa ulivojibu
 
Kwa sababu wewe unakaa vijiwe vya kahawa hata kama hutumi kahawa sio Kila mtu Yuko hivyo.

Ninyi ndio wale mnasapoti vitu hamjui hata vinashikiliwa na nguvu Gani...

Umezaliwa Sinza umekuta Kila kitu unaishi Kwa mishen town Sasa unahisi Kila kitu kimekaa kimishen town...

Acha kushakibikia vitu kama huvijui vizuri. Unaweza ukajiingiza kuangamiza kizazi chako kirahisi bila KUJUA...
Wadanandaaa!!!hao
 
Back
Top Bottom