Kwanza kabisa nitake radhi kusema nimezaliwa kwenye uchawi...
Wewe umezaliwa kwenye familia ya kishetani huoni una tatizo?
Leo WEMA, Hamisa, kesho Zari, keshokutwa Tanasha, Mtondo Zuchu alafu unasema wewe binadamu?
Alafu umeachana na huyu ukaona kapata mume wivu unaanza ukaribu!
Skiza, toa kwanza ujinga kichwani mwako...
Tunajenga taifa la namna Gani?
Tumeaminisha watu kuwa mziki na siasa bila hayo hakuna kuishi...
Apewa cheni na Pete za million 150?
Pete na cheni? Za Nini?
Alafu trust me hunisogelei Kwa CHOCHOTE Iwe pesa, umaarufu ama CHOCHOTE Kwa hivyo huyu anayekujibu hapa ameshuhudia makubwa zaidi Yako, ameyaona mengi.