Safi Sana, chibu denga,bongofleva umeipa heshima, laiti na nyanja zingine,tungefanyq kama wewe, nchi ingekuwa mbali, mziki unaupiga vzr, umekuwa balozi na umeiqeka nchi kwenye ramani,
Kwa mtazamo wangu, ilibidi upewe diplomatic passport! Una manufaa makubwa kuliko, waziri mkuu, makamu wa raisi, na balozi, wetu UN!
We kijana mmoja wa tandale, hata secondary hukufika, umejwnga empire kwa kipaji chako, unatoa ajira kwa watu kibao, unalipa Kodi kubwa!
Harafu kuna kenge wapo seriaklini, ukitaka huduma, inakuwa kama wanakufanyia fadhila!