D Voice apewa cheni na pete za million 150

Kwako wewe ni matakakata ila mwenye biashara yake anajua yana umuhimu gani kwenye business yake. Diamond hajawai kutupa pesa.
 
Basi sawa.

Nimekuelewa ingawa haujanielewa
 
Hii umeiskia kijiwe cha kahawa au cha draft?
Kwa sababu wewe unakaa vijiwe vya kahawa hata kama hutumi kahawa sio Kila mtu Yuko hivyo.

Ninyi ndio wale mnasapoti vitu hamjui hata vinashikiliwa na nguvu Gani...

Umezaliwa Sinza umekuta Kila kitu unaishi Kwa mishen town Sasa unahisi Kila kitu kimekaa kimishen town...

Acha kushakibikia vitu kama huvijui vizuri. Unaweza ukajiingiza kuangamiza kizazi chako kirahisi bila KUJUA...
 
Hiyo cheni haifiki hiyo bei, hizo zinatengenezwa tu mnapigwa changa la macho.

Nyie watu vichwa makopo kabisa, habari mkiona mnameza nzima nzima tu.
Huyo ni Chawa wa Usafini. Anapewa cheni ya 150M na kupangishiwa nyumba? Hiyo 150M si bora wamjengee nyumba? Cheni itamsaidia nini na umri wake bado mdogo? Chai hii.
 
Hizo ni mojawapo ya vitendea kazi kwenye shughuli yao ya muziki. Mashabiki hupenda kuwaona wasanii wao katika mwonekano ghali. Wizi upo CHADEMA kununua pagale kwa bilioni 1.6 huko ndani ndani Mikocheni kusikofikika.
 
Umezaliwa kwenye uchawi basi kila kitu unakiona kwenye angle ya uchawi
 
Umezaliwa kwenye uchawi basi kila kitu unakiona kwenye angle ya uchawi
Kwanza kabisa nitake radhi kusema nimezaliwa kwenye uchawi...

Wewe umezaliwa kwenye familia ya kishetani huoni una tatizo?

Leo WEMA, Hamisa, kesho Zari, keshokutwa Tanasha, Mtondo Zuchu alafu unasema wewe binadamu?

Alafu umeachana na huyu ukaona kapata mume wivu unaanza ukaribu!

Skiza, toa kwanza ujinga kichwani mwako...

Tunajenga taifa la namna Gani?
Tumeaminisha watu kuwa mziki na siasa bila hayo hakuna kuishi...

Apewa cheni na Pete za million 150?
Pete na cheni? Za Nini?

Alafu trust me hunisogelei Kwa CHOCHOTE Iwe pesa, umaarufu ama CHOCHOTE Kwa hivyo huyu anayekujibu hapa ameshuhudia makubwa zaidi Yako, ameyaona mengi.
 
Tatizo hawa wanataka kila mtu akate
Mauno

Ova
 
Mkuu wewe sio msanii unahaki kuona ovyo wasanii wana aina yao ya Maisha tofauti na wewe wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…