D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
COMMONWEALTH is watching YOU
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA CITIZENS are watching YOU.
SATELLITE'S are watching YOU.
ENTIRE GROBAL is watching YOU.

Utajifichia wapi.
Mjichanganye sasa muone hasira za walimwengu, mtatamani ardhi ipasuke muingie.
 
Wanachowaza ni kupika takwimu.. Lakini za vifo na vituo vya kura wamekwepa😂
1764318155591.jpg
 
Hivi mkiambiwa amani ya Tanzania italindwa kwa garama yyte huwa mnaelewa?
Nyie kazeni mafuvu
 
Yote hayo yatategemea na aina ya maandamano mzee. Kama ni ya amani Sawa ila kama ni ya kulipa kisasi kama inavoongeleka mitaani basi watakufa watu tena na hao wote uliowataja kuwa wanaangalia hakuna kitu watafanya.
 
Hivi mkiambiwa amani ya Tanzania italindwa kwa garama yyte huwa mnaelewa?
Nyie kazeni mafuvu
Tunajua amani inalindwa kwa kuua, ila najua wewe ni mpiga ropo tu hauna hasara yeyote wenye hasara wanajua consequences zake.
 
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA CITIZENS are watching YOU.
SATELLITE'S are watching YOU.
ENTIRE GROBAL is watching YOU.

Utajifichia wapi.
Mjichanganye sasa muone hasira za walimwengu, mtatamani ardhi ipasuke muingie.
Endeleeni kujidanganya.

Hizo taasisi zote waPalestina wanauwawa kila siku na ndo kwanza wanaongeza msaada kwa Israeli.

Hizo taasisi zote zilimlaani Gadafi na kusupport kupinduliwa kwake na sasa hivi wamegeuka nyuma.

Taasisi hizo zipo kwa ajili ya strategic campaign zao na si kutetea haki zozote kama mnavyoaminishwa.

Fanya ujinga utauwawa na huko ICC hapelekwi yeyote jela kama Kenya ilivyotokea kwenye maandamano yao.

Fanya kazi, opportunities nyingi mno nchi hii
 
Back
Top Bottom