D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

Yote hayo yatategemea na aina ya maandamano mzee. Kama ni ya amani Sawa ila kama ni ya kulipa kisasi kama inavoongeleka mitaani basi watakufa watu tena na hao wote uliowataja kuwa wanaangalia hakuna kitu watafanya.
Sawa
 
Mtapelekewa moto mpaka muwasahau hao mabeberu wenu wanaowatuma mfanye vurugu nchini
haushangazi,
maana hata kipindi nyerere anapigania uhuru kuna mashoga ya kitanzania yalikua yanashirikiana na mkoloni kufifisha juhudi
 
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA CITIZENS are watching YOU.
SATELLITE'S are watching YOU.
ENTIRE GROBAL is watching YOU.

Utajifichia wapi.
Mjichanganye sasa muone hasira za walimwengu, mtatamani ardhi ipasuke muingie.
Kuna mda akili zenu znakuaga offline, ICC inatoa wap mamlaka ya kukamata raisi
 
Endeleeni kujidanganya.

Hizo taasisi zote waPalestina wanauwawa kila siku na ndo kwanza wanaongeza msaada kwa Israeli.

Hizo taasisi zote zilimlaani Gadafi na kusupport kupinduliwa kwake na sasa hivi wamegeuka nyuma.

Taasisi hizo zipo kwa ajili ya strategic campaign zao na si kutetea haki zozote kama mnavyoaminishwa.

Fanya ujinga utauwawa na huko ICC hapelekwi yeyote jela kama Kenya ilivyotokea kwenye maandamano yao.

Fanya kazi, opportunities nyingi mno nchi hii
Ndivyo mnavyomdanganya mama yenu.
 
Tunajua amani inalindwa kwa kuua, ila najua wewe ni mpiga ropo tu hauna hasara yeyote wenye hasara wanajua consequences zake.
Mimi nawasanua tu kuwa Tanzania si PAHALA PA KUFÀNYA VURUGU
 
Yote hayo yatategemea na aina ya maandamano mzee. Kama ni ya amani Sawa ila kama ni ya kulipa kisasi kama inavoongeleka mitaani basi watakufa watu tena na hao wote uliowataja kuwa wanaangalia hakuna kitu watafanya.
Wao waruhusu maandamano watoe escorts tu vyote vitaepukika.. kuendelea kukaza fuvu lazima kila upande upate madhara!
 
Hivi mkiambiwa amani ya Tanzania italindwa kwa garama yyte huwa mnaelewa?
Nyie kazeni mafuvu

yeah amani yenu politburo lkn kwa >85% ya watanzania haiwahusu, hivyo ni kawaida kwa politburo kutaka kulinda na ku maintain status quo, lkn muda wenu nafikiri umeisha kila jambo lina mwanzo na mwisho, kwani mlishavimbiwa ndiyo maana mmeanza na kufanya vituko mnateua watoto wenu wenyewe na kuwaapisha, familia na koo zenu, hizo huwa ni dalili za mwisho za kuanguka kwa dola kandamizi yoyote ile duniani kama unaweza kusoma historia ...
 
Kumbe unajua Kuna risasi jaribuni muone moto, mnapoambiwa kuwa Amani ya Tanzania italindwa kwa garama yyte muwe mnaelewa
Umesema amani? Una uhakika Tanganyika kuna amani ama unaongelea Zanzibar?
 
yeah amani yenu politburo lkn kwa >85% ya watanzania haiswahusu, hivyo ni kawaida kwa ploitburo kutaka kulinda na ku maiintain status quo, lkn muda wenu nafiki umeisha kila jambao lina mawanzo na mwisho ...
Tulia uandike vizuri basi au wewe ni mkenya
 
Nadhani hunielewi... tuilinde amani yetu
Mbona jina lako silioni au kazi yako ni kushikilia mapembe.
G6tnzeGX0AExtoL.jpg
 
UN is watching YOU.
AU is watching YOU.
EU is watching YOU.
SADC is watching YOU.
ICC is watching YOU.
EAC is watching YOU.
INTERNATIONAL NGO's are watching YOU.
COUNTRY FRIENDS are watching YOU.
NEIGHBORS are watching YOU.
YOUR FRIENDS are watching YOU.
TANZANIA CITIZENS are watching YOU.
SATELLITE'S are watching YOU.
ENTIRE GROBAL is watching YOU.

Utajifichia wapi.
Mjichanganye sasa muone hasira za walimwengu, mtatamani ardhi ipasuke muingie.
Japo Dunia nzima itakuwa inamulika lakini Gen Z msitoke kizembe tu na bendera ,kamwe narudia usitoke kizembe mikono mitupu kwenda kupambana na magaidi wa abdul ,jikoki na zana za maapambano.
 
Back
Top Bottom