Da kumbe Wallace Karia ni mtu mkubwa hivi na si mganga njaa!

Duh Jf bwana.....kama ulikuwamtu wa makandokando huko nyuma Jf haiwezi kukuacha salama aisee
 
Mbona povu jingi wakat jamaa kauliza swali fupi sana! [emoji4]

Haya jibu swali sasa, toka Mvomero hadi Dar ni saa ngapi?

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Rais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
 
Sasa hivi ni mhasibu mkuu mkoa wa Morogoro, hivi mhasibu na MKURUGENZI nani mkubwa
 
huwa navishangaa vikurugenzi nikivikuta ofisini kwao na vi v8 vya ofisi, aisee vinajitutumua, lakini havikatishi miaka kadhaa navikuta mahakamani vinashitakiwa!
 
Rais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Hata Juma Pumba Maharagwe siio mtanzania Yule ni banyamulenge wa misitu ya Huko bukavu!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
Aliwahi kuwa DED Mvomero, baadae akahamishiwa Bukoba..Kisha akahamishiwa Morogoro ambako alikuwa Mhasibu Mwandamizi kwenye Sekretarieri (RS) ya Mkoa wa Morogoro..Mpaka anachaguliwa kuwa Rais wa TFF alikuwa ni Mhasibu wa RS Morogoro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…