LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Shangaa na Antoni Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu ni Rais wa TAANimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa na Antoni Mtaka mkuu wa mkoa wa Simiyu ni Rais wa TAANimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha
Zile mbwembwe zote kaambulia kura 9 mwenzie 95Bola Mayai Kapigwa Chini
Bashite anaingilia mpaka TFF!Asante Bashite kwa kufanikisha uchaguzi wa TFF
Mbona povu jingi wakat jamaa kauliza swali fupi sana! [emoji4]Umeshaambiwa wao ni wasimamiaji tu na ndio maana kuna mtendaji mkuu wa kazi za kila siku za TFF ambae ameajiriwa hata rais sio anafanya kazi za serikali ndio maana akawepo Waziri Mkuu sasa TFF kuna Katibu Mkuu ambaye ameajiriwa na kazi zake ni za kila siku kwa maana ya mtendaji mkuu wa TFF Rais,Makamu wa Rais na Watendaji wengineo wanaochaguliwa kwa Kanda wao ni wasimamizi tu wa waajiliwa wa TFF lazima tulifahamu hilo hiyo hoja ya umbali wa Morogoro na Dar sio Hoja kabisa
Hata watutsi wapo serikalini.Rais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Oooh kumbe DED wa Tanzania ni MsomaliRais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Huko ndiyo mbaya zaidi. Sasa wanatesa kweli
Yang Dam Yule,, Sawa Na Malizi Tu
huwa navishangaa vikurugenzi nikivikuta ofisini kwao na vi v8 vya ofisi, aisee vinajitutumua, lakini havikatishi miaka kadhaa navikuta mahakamani vinashitakiwa!Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya (DED) ni kuwa mtu mkubwa hadi upost hapa JF? Mawazo kama hayo yamelenga kutukuza watu kwa nyadhifa na mali zao, ndiyo maana SSB mnatukuza sana, sitashangaa kusikia kuwa naye sasa ni Mungu anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana.
Hata Juma Pumba Maharagwe siio mtanzania Yule ni banyamulenge wa misitu ya Huko bukavu!Rais wa TFF Msomali!
Kweli Tanzania ni bure kabisa!
I am entitled to my opinion.
Aliwahi kuwa DED Mvomero, baadae akahamishiwa Bukoba..Kisha akahamishiwa Morogoro ambako alikuwa Mhasibu Mwandamizi kwenye Sekretarieri (RS) ya Mkoa wa Morogoro..Mpaka anachaguliwa kuwa Rais wa TFF alikuwa ni Mhasibu wa RS Morogoro..Nimeshanga na habari kuwa huyu bwana ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mvomero. Nawasilisha