stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
Habari zenu..
Naona siku njema ambayo miaka kadhaa nyuma..
Kulikua na vifijo na nderemo bila kusahau vigelegele...
Ambapo mtoto wa kiume alipozaliwa na mama aliye hai mpaka sasa...
Miaka ya 1900's ndio nilizaliwa...
Nimeingia umri wa majukumu zaidi...
Umri wa kijana wa makamo...
Makofi na vigelegele kwa stevoh tafadhali...
Happy birthday to me...

Last edited by a moderator: